- Thread starter
- #161
Sawa mkuuNi psychological problem, unaweza kujicondition usiote. Hauhitaji kupanic
Sawa mkuuNi psychological problem, unaweza kujicondition usiote. Hauhitaji kupanic
Unajua mtu anapolala, unconscious mind inakua active sana. Hii inasababisha deep desires au fears ulizonazo ambazo hata hujui kama zipo kusurface. Hiki ndio chanzo cha nightmares au watu kuota majini mapenzi (succubus)Sawa mkuu
uwiiiiiPole sana, acha kulala ili usiote tena
Imemsaidia
Na hizo dua ukiomba hakuna kitakacho kudhuru kwa uwezo wa allahWewe ni dini gani kama muislamu kuna duaa wakati wa kulala ukiamka kila tendo lina duaa
akatafunie chooni!!!~chukua Mahindi makavu kabisa Yale ambayo hupelekwa kusaga kwa ajili ya unga,yakaange kama Karanga,yakishakuiva,ingia chooni uyatafune kiasi cha kiganja kimoja tu./ tatizo KWISHA.
***akatafunie chooni!!!
aisee! kwa kuwa ni dawa inabidi tu ajikaze, hasa kama ikitokea ndio anaishi nyumba za kupanga choo wanatumia watu wengi halafu ni choo cha SHIMO !!***
ndio...!