ndugu yangu nimepata kisomo cha ruqya leo huwez amini kuna vitu vinatembea ndani ya mwili kama mdudu pia nilihisi kuungua na kupoteza fahamu naomba mniombee mtanzania mwenzenu
Mkuu;
Tukuombee kisomo zaidi au tukuombee nini tena?? Mbona mnaiga lugha ilee ati; Watanzania mniombee,Tukuombee nini??
PM tujuzane mambo. Mengine yapo kwenye uwezo wetu wenyewe