Nimechoka kufanyishwa mapenzi



kama unaenjoy unachoshwaje sasa?
 
Ukiota unasex na mtu humfahamu mambo kadhaa yanahusika hapo

Mosi, pengine unawazia kukutana/kufahamiana na mtu mpya katika mazigira mapya lakini unashindwa kufanikisha hili sasa ubongo wako unajaribu kufanikisha hili tukio katika namna ya ndoto.

Pia inawezekana wewe unapenda/unatamani kitu fulani katika maisha yako lakini kwasababu upo protective sana na maisha yako unashindwa kufanikisha. Hapo mwili wako unajaribu kufanikisha hili kwa njia ya ndoto

Kumbuka

Kila kitu au watu (characters)unaowaona kwenye ndoto yako ni namna ubongo wako unajaribu kukujulisha part of your own personality.
 
kwa hiyo nisiweke wasiwasi
 
Jini mahaba ndio kazi zake hizo. Cha kufanya ni uwe unaomba sana.
Chukua chumvi... iombee.. itamkie maneno... weka kwenye maji ya kuoga then oga nayo. Utaona kuna kitu kinabadilika
Kwa muda gani au Mara moja tu?
 
kwa hiyo nisiweke wasiwasi

Balance is key in life

Yes, achana na wasiwasi

Usiogope kujaribu mambo mapya

Toka nenda kakutane na watu wapya

Fanya jambo unalofurahia na kulipenda hata kama huamini sana unaujuzi nalo

Achana na mafundisho yoyote yanayokufanya upate wasiwasi

Ishi kwa uhuru zaidi yataisha
 
Asante mkuu
 
kiukweli mambo kama haya yametokea visehemu mbalimbali kwa watu tofauti ila yalitoweka kabisa baada ya kumhusisha mungu na kuomba usaidizi kwa waombezi kulingana na imani yako(kama mkristo au muislam)ila nakushauri umakinike usije ukawahusisha wasio wa imani ya kimungu
 
Chukua vitunguu swaum (vyakienyeji) vimenye halafu saga na paka mikono na miguuni vingine paka mlangoni
 

Majini ya usagaji hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…