Nimechat na mume wa mtu nikidhani ni mke wake

Nimechat na mume wa mtu nikidhani ni mke wake

Uko na pesa ngapi nikuuzie jeneza cos I see no life in you
 
Omba radhi halafu jifanye kuwa sio mke wake ulikosea namba yaani jifanye humjui mkewe
 
Yaani we ndo nakutafata wala sijakosea huu ndo mwandiko wako km ule tulivyokuw tunachat.skia dogo nkwambie me nakuendea pangani ww kuna dawa taifanya utakuwa elton joni ww siku c nyingi
 
Mi nishawai chat na nke wa mtu na nikamkojolesha yan alipagawa kweli....mpaka algajiri...ikafika mahala jamaa yake anaingia huku ananipa update_ af anasema ngoja aende sebuleni...mara anaingia baadae au kesho .....af mida ananiambia amelala huku tunaendelea....yani bado kidogo kugegeda tu basi mi mwenye sio striker kam jamie vardy kwenye mambo haya...nina ustaarabu tu wa asili
 
iliwahi kunitokea hiyo ...
jamaa alitumia simu ya mkewe akaniuliza niko wapi .. sikujibu kwa kuwa hatukuwa na mazoea ya sms, tulikuwa tunapendelea yahoo messenger..
baadaye mke akanitumia ujumbe kwa simu nyingine kwamba nisipokee simu .... iko na Mr wake ..

hadi leo jamaa huwa ananipigia kwa namba tofauti na kuanza kunihoji napatikana wapi
Ni mshamba tu. Akienda Polisi akawapa hela dk sifuri upo ndani anakabidhiwa ww mzima mzima mkayaongee huko nyumbani. Polisi wanamtambo au vifaa vya kufahamu upo wapi kwa sasa na unafanya nn!! Chezea Teknolojia ww, utanyea debe.

Akienda voda/Tigo/Airtel akahonga hela tiyari unakabwa ki urahisi tu. Hata kwa kwa kufahamu watu unao wasiliana nao na kuwa tumia wao kukudaka bila ww kufahamu.

Mtaalamu wa IT yoyote yule anaweza kukudaka kirahisi tu kwa kutumia namba yako ya simu, na uka nyooshwa vzr tu.

Jamaa huyo hatokei mikoa ya Kanda Maalum shukru. Ingekuwa kule, Mkewe angeisha mpeleka kwako siku ile ile au demu angekupigia simu hata baada ya mwezi mkutane Guest/sehemu mnapokutania mara zote. Hapo ndio unatatuliwa Malinda vzr.
 
Back
Top Bottom