Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,174
iliwahi kunitokea hiyo ...
jamaa alitumia simu ya mkewe akaniuliza niko wapi .. sikujibu kwa kuwa hatukuwa na mazoea ya sms, tulikuwa tunapendelea yahoo messenger..
baadaye mke akanitumia ujumbe kwa simu nyingine kwamba nisipokee simu .... iko na Mr wake ..
hadi leo jamaa huwa ananipigia kwa namba tofauti na kuanza kunihoji napatikana wapi
Sasa wewe unamuogopa mwanaume mwenzako!