Kimsingi mambo yamepamba moto,hakukaliki kichwa kinapasha joto.
Kumbe kidume amedaka simu ya mke wake akaanza kuchat na mimi story kali za yale mambo yetu,na mimi nikafunguka balaa nikijua nachat na mwanamke kumbe ni mume wake.Sasa mambo yako hadharani,ni piga nikupige kati ya mwanaume na mwanamke.Nawaza sijui itakuwaje ligi ikigeukia upande wangu.Bahati mbaya,jamaa ananifahamu ila mimi simfahamu.
Mwenye uzoefu hapo tafadhali tupeane techniques!
Hahaha jf mwisho wa stress.kwahyo unamshauri jamaa atembee na vilainishi,tena water based lubricants.mwambie asisahau na dawa ya kuchua.volini itafaa zaidiusipuuzie ushauri wangu.....popote uendapo usisahau kuambatana na mafuta ya KY kwa ajili ya kazi ya kulainisha
Kimsingi mambo yamepamba moto,hakukaliki kichwa kinapasha joto.
Kumbe kidume amedaka simu ya mke wake akaanza kuchat na mimi story kali za yale mambo yetu,na mimi nikafunguka balaa nikijua nachat na mwanamke kumbe ni mume wake.Sasa mambo yako hadharani,ni piga nikupige kati ya mwanaume na mwanamke.Nawaza sijui itakuwaje ligi ikigeukia upande wangu.Bahati mbaya,jamaa ananifahamu ila mimi simfahamu.
Mwenye uzoefu hapo tafadhali tupeane techniques!
Embu mgeuzie kibao tafta mdada smart mpe no ya huyo bwana itafte kwa hali na mali, huyo dada ajifanye kakosea no, akiingia line kazi kwisha atakuwa mpole kama polo la makande hakikisha hiyo dada anatunza sms
Kimsingi mambo yamepamba moto,hakukaliki kichwa kinapasha joto.
Kumbe kidume amedaka simu ya mke wake akaanza kuchat na mimi story kali za yale mambo yetu,na mimi nikafunguka balaa nikijua nachat na mwanamke kumbe ni mume wake.Sasa mambo yako hadharani,ni piga nikupige kati ya mwanaume na mwanamke.Nawaza sijui itakuwaje ligi ikigeukia upande wangu.Bahati mbaya,jamaa ananifahamu ila mimi simfahamu.
Mwenye uzoefu hapo tafadhali tupeane techniques!
Daah bruh jiweke sawa kimazoezi uwe tayari kwa lolote [emoji123]Kimsingi mambo yamepamba moto,hakukaliki kichwa kinapasha joto.
Kumbe kidume amedaka simu ya mke wake akaanza kuchat na mimi story kali za yale mambo yetu,na mimi nikafunguka balaa nikijua nachat na mwanamke kumbe ni mume wake.Sasa mambo yako hadharani,ni piga nikupige kati ya mwanaume na mwanamke.Nawaza sijui itakuwaje ligi ikigeukia upande wangu.Bahati mbaya,jamaa ananifahamu ila mimi simfahamu.
Mwenye uzoefu hapo tafadhali tupeane techniques!
ValentinaMweeh!
Shikamoo[emoji4]Valentina
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] unanisalimia shikamoo unataka kuninyima nini mpendwa wangu Valentina?Shikamoo[emoji4]
Wewe mzigua au mfipa?Nina dawa ya kumtuliza huyo bwana akasahau mambo yote
Wewe mzigua au mfipa?