Nimechat na mume wa mtu nikidhani ni mke wake

Nimechat na mume wa mtu nikidhani ni mke wake

Hehehe dah hapo kaa mkao wa kupokea.
Kwa ushauri wangu fanya upelelezi mapema ili umjue yeye dume la aina gani.
Yaani uwe proactive.
 
Duh hii stori inafanana na ya mdada mmoja mume wake ni rafiki kabisa ila sikujua km huyo dada ndo mke wake. Dada aliniingiza mkenge, nilikutana nae njiani nikavuta nae stori nikajikuta namtongoza akakubali na awali aliniambia hakuolewa nikaamini. Nikapanga nae siku ya kuonana. Ilipofika hiyo siku akawa hapatikani kwa cm, siku ya pili yake nikapitia mbele ya nyumba yake aliponionesha kuwa anaishi hapo. Nikamkuta huyo rafiki yangu anaitwa John, nikapiga nae stori hadi nikamwuliza km anamfaham huyu dem mrefu mwembamba mweupe mwenye kimwanya. Ghafla john akabadilika km anataka kulia, akaniomba niachane nae huyo ni mke wake, na mi nikamwomba msamaha. Akarudi ndani kwenda kumuadabisha mkewe. Siku nyingine huyo dada alitulaumu wanaume kuwa hatuwezi kuwa na siri mnahadithiana siri zenu ovyo.... Kitu nilichompenda jamaa hakuvunja urafiki na mimi mpk leo miaka kumi sasa imepita
 
Back
Top Bottom