Nimechat na mume wa mtu nikidhani ni mke wake

Kimsingi mambo yamepamba moto,hakukaliki kichwa kinapasha joto.

Kumbe kidume amedaka simu ya mke wake akaanza kuchat na mimi story kali za yale mambo yetu,na mimi nikafunguka balaa nikijua nachat na mwanamke kumbe ni mume wake.Sasa mambo yako hadharani,ni piga nikupige kati ya mwanaume na mwanamke.Nawaza sijui itakuwaje ligi ikigeukia upande wangu.Bahati mbaya,jamaa ananifahamu ila mimi simfahamu.

Mwenye uzoefu hapo tafadhali tupeane techniques!

Ulikua hujui kwamba ni mke wa mtu??? Haya sasa unalo...komaa!!
 
Kimsingi mambo yamepamba moto,hakukaliki kichwa kinapasha joto.

Kumbe kidume amedaka simu ya mke wake akaanza kuchat na mimi story kali za yale mambo yetu,na mimi nikafunguka balaa nikijua nachat na mwanamke kumbe ni mume wake.Sasa mambo yako hadharani,ni piga nikupige kati ya mwanaume na mwanamke.Nawaza sijui itakuwaje ligi ikigeukia upande wangu.Bahati mbaya,jamaa ananifahamu ila mimi simfahamu.

Mwenye uzoefu hapo tafadhali tupeane techniques!
Umekurupuka tunaitaga mpuyangi huo aiseeeee[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji115] [emoji125]
 
Ushauri wa bure, andaa jicho tu ilo... Hakikisha umekunya kabisa, na mafuta ya mgando usisahau pembeni
 
Back
Top Bottom