Nimechapiwa rasmi nikaribisheni team kataa Ndoa!

Soma tena post yako halafu ndio jibu swali ....

""Bila hekima ya Mungu kuishi na Ke ni kujichimbia kaburi ungali huelewi chochote.""

#YNWA
#YANGA_BINGWA

Soma tena post yako halafu ndio jibu swali ....

""Bila hekima ya Mungu kuishi na Ke ni kujichimbia kaburi ungali huelewi chochote.""

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ndoa ni kwaajili ya Watu wenye akili tu na "chanzo cha maarifa ni kumjua Mungu"

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Punguza hasira,samehe ili nawe usamehewe
 
alafu kaa ukijua mwanamke sio ndugu yako.shukuru amekupa mtoto kama kweli ni wa kwako
huo upumbvu wake mwingine achana nao.sasa na wewe muoneshe kwa vitendo.mtafutie wenzake
Kwaiyo kutafutia wenzake ndo solution au nn tofauti yake na uyo mkewe itakua ni nn
 
Just imagine uje ku-french kiss mdomo ulionyonya mashine ya mshikaji!

Anyways, cheating ya mwanamke huwa ni premeditated, hana anachojutia, hata kama atajaribu kiasi gani kukuaminisha vinginevyo.

Kabla haujamkamata alikuwa anaficha kwasababu aliogopa utamwacha. Kama utamsamehe, utakuwa umempa uhakika wa kumsamehe tena akirudia. Kwahiyo atakuwa anagawa bila wasiwasi na kwa kujiamini zaidi.

Best option ni kumuacha, unless kama upo tayari kuchapiwa zaidi. Ndio maana Wakurya wana msemo: once a cheater, always.
 
Nakubali mkuu.
 
Mwanamke ukishajua anatombwa nje unasamehe nini sasa, mbona unaongea kama simp fulani
 
Wanaume naona wanavojiachia na comments zao utasema malaika wagawa thawabu 😎 hakuna mkamilifu kwenye Dunia hii wangap humu mnachepuka sema hatuwajui Wala wake zenu hawajui ila mkiingia social media nyie ndie malaika wa zamu
Sijaona kipya wote ndo yaleyale
 
Asante kwa maoni mkuu.
 
Ushauri mzuri ila haya mambo nadhani ukiamua kusamehe samehe tu hakuna ushairi wa maana utaupata kwa wazazi wa kila upande. Ushauri wa kweli uko humu jf ukisikiliza pande zote za haters na washauri wa type yako ukiunganisha notisi na kuchuja utapata pa kusimamia.

Maana uamue kusamehe utajuta baadaye na ukiamua kutosamehe utakuja kujuta tu baadaye, muhimu ni kuchagua kipi kitakufaa au kina faida zaidi. Hakuna namna utamridhisha mwanamke katika kumtomba. Unaweza ukawa na mguu wa mtoto na unapiga pipe vibaya mno lakini mwanamke akachiti na kibamia ambacho kinampwerepeta ila msela atakuwa ashapiga tayari hata akikomea hiyo mara moja.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…