Nimechapiwa rasmi nikaribisheni team kataa Ndoa!

Duh pole sana mkuu
 
unatoaje ushauri wa kijinga?
 
Pole sana mkuu kwa kupigwa tukio... Kama hujawahi kumpiga tukio huyo mkeo na ulikua mtiifu kwake basi unaweza kumuacha ila usioe ex wa mtu maana nae atachepuka tu. Ila na wewe kama ulishawahi kuchepuka basi chukulia ngoma droo ,piga mkwara mzito na msamehe mlee mtoto...
 
Pamoja na kumtimua, mlaji ni kama unampa ushindi wa mezani. Mlaji aundiwe kikosi kazi kwanza, afu baadae mliwa aondoke .
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…