Nimechapiwa rasmi nikaribisheni team kataa Ndoa!

Hapa factor ni mbili
Uwe mke wa injinia wa trc kitengo sgr
Muwe mmepanga kwenye apartment
Week hii imeshakuwa ngumu Kwa huyu mwanamke
 
Mnateseka kwasababu ya mtoto ambaye baadae atakuwa na maisha yake??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Na hawa ndio WAKE ZENU.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Dah pole sana mkuu, juzi jmosi nilipanda bajaji nilikaa pembeni ya dada mmoja age goo lizuri sana akaniuliza kuhusu sehemu fulan hapajui nikamjibu, dakika chache mbeleni akapigiwa sim na mumewe akamwambia "mume wangu simu inazima chaji naenda kwa mama ukiona kimya na sipatikani ujue sijapata pa kuchaji, nmekupa taarifa tu ujue na nitachelewa kurudi "akakata simu. Ikapokelewa simu nyingine akajibu kafika kituo fulani, nikarudiwa tena kwa swali, bar fulani ipo mbali na kituo X? Nikajisemea tu imeisha hiyo
 
Kwanini mnaishi kwa mashaka hivi??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Dah we kweli ni nzalendo mkuu sema ukishajua hapo ulipo hauna future napo ni rahisi kukubaliana na uhalisia na kuwa kawaida ili mambo yako yaende.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…