Nimechapiwa rasmi nikaribisheni team kataa Ndoa!

Pole kwa yaliyokukuta
Nianze kwa kusema hivi kabla hujamfukuza Je wewe hujawahi kucheat?
Na kama umewahi muombe msamaha kabla hujamfukuza, baada ya hapo utamfukuza.
Asante nawasalisha

Kinachofanya watu wanaachana baada ya Usaliti ni Kukosekana kwa Uaminifu.

Kunasababu gani kuishi ndani na mtu hamuaminiani?

Mara 100 muachane kila mtu akajitafute upya.
 
Mwenye max malipo anaisaidie kununua luku, mitandao inafeli
 
Sema hukuwa na kifua, huyo ulivyogunndua na ushahidi unao ungejifanya km hakuna kinaçhoendelea na ungekaa nae km miezi kadhaa ukimsoma hakuna Raha km ukamjua msaliti wako wakati yeye hajui km umejua, baada ya hapo ungekuja kubaini, labda hata na wewe una makosa, ujue kujifariji Kwa kuwatafutia Hela Hawa wanawake na kitunza familia tu, sio kigezo Cha kujitamba Kwa mwanamke kuwa unampa kila kitu, mwanamke wako usipomjua anataka Nini kwako siku zote utaishia kusema ni MALAYA, sijui hatosheki,
Kumbe kuna sehemu unafeli, sisi WANAUME wengi tunajidanganya sana pale tunapojaali familia zetu Kwa kuwapa mahitaji Yao, na kumbe Kuna kitu huwa tunasahau, najua ni ngumu kujigawa pande zote lkn, mwanamke ana muda flani anahitaji uwepo wako, maneno Yako,shoo ya kibabe na vinginevyo, tunaishia kulaumu sana wanawake lkn tujichunguze na kuwasoma wanawake zetu!

Ushauri wangu, huyo mwanamke unataka kumwacha, nakuhakikishia ataenda kuwa WIFE material Kwa mwañaume atakaempata kwakuwa ameshaona hasara na kujifunza UBAYA wa kucheza RAFU!
 
Waliomjua Mungu zaidi kuliko wewe, Yesu, Petrol na wengine HAWAKUOA.

Waliona kazi ya kumtumikia Mungu na Mwanamke HAVIENDANI.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Acha uwoga wa maisha wewe, changamoto zozote ni sehemu ya maisha na hivyo ndivyo dunia ilivyo.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Painful,🥱🥱🥱
 
Acha uwoga wa maisha wewe, changamoto zozote ni sehemu ya maisha na hivyo ndivyo dunia ilivyo.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
1. Kugongew@
2. Kulea mtoto sio wako
3. Kudhulumiwa mali

Hizi ndio changamoto unazosemea?

Sasa mbona zote hizi ZINAEPUKIKA.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Usije kwasasa nikiandika, ntakua na copy na kupaste kwenu. Sijaiandaa bado hiyo process.
Pole kwa yaliyokukuta pia nina experience kidogo kwenye hili, ushauri wangu huo utaratibu usiuweke popote PM wala hapa usimfundishe mtu yeyote, you will soon get healed.

Asante.
 
Pole kwa yaliyokukuta pia nina experience kidogo kwenye hili, ushauri wangu huo utaratibu usiuweke popote PM wala hapa usimfundishe mtu yeyote, you will soon get healed.

Asante.
Ndo nnachowaza mkuu, sipo tayari kuona wengi wanaangamia hili ni janga na Maelfu ya watu yanatazama hapa.
 
1. Kugongew@
2. Kulea mtoto sio wako
3. Kudhulumiwa mali

Hizi ndio changamoto unazosemea?

Sasa mbona zote hizi ZINAEPUKIKA.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Jichanganye sasa ndipo utaelewa kwanini uliambiwa uishi na Ke kwa akili.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…