Nimechapiwa rasmi nikaribisheni team kataa Ndoa!

Hilo liko wazi lakini lazima kijana uoeee...hizo genyee utanunua malaya mpaka lini?? utabadilisha pus mpaka lini??
 
Lipia tangazo mkuu
 
Pole kwa yaliyokukuta
Nianze kwa kusema hivi kabla hujamfukuza Je wewe hujawahi kucheat?
Na kama umewahi muombe msamaha kabla hujamfukuza, baada ya hapo utamfukuza.
Asante nawasalisha
 
Huo ndio uwanaume sasa!
Mezea, anza kuchapa nawe nje ile mbaya! Tena bila vificho! Tunza mtoto, akikuwa na kujitegemea amuwa kama utafukuza au lah!
Rich Mavoko Roho Yangu Video Swahili Music
View: https://youtu.be/hDKqKzydxuk?si=w6gtHPojAAcCnAwI via YouTube
 
Pole sana kwani ulimkuta bikra?
 
Tulikua sehemu nyingine (mkoa) kwa kipindi kirefu. Kinondoni nimepata transfer juzi juzi tu ndio nikaja.
Mkuu mke wako ni mfanyakazi?
Mkuu huyo mke wako atakua mzoefu ujue Mwanamke tena mke wa ndoa mpaka aje atoke nje ya ndoa ni mipango ya muda mrefu, labda kaamua kulipiza unajua baadhi ya Wanawake wakijua unatabia ya hovyo tena tabia ya kutembea nje ya ndoa wanajifanya hawajui unacho kifanya, Na wao wanajipanga kwa kulipiza.
 
Hebu tupe somo la viks kingo nimpakie wangu asijekwenda nje
 
[Q
Tatizo ulioa mke wa mtu
Mwanamke ambaye hujamtoa bikra huyo sio mke wako mzee
Sisi wazaz wenu tukiwaambia ukweli mnatuona wabaya
Pambaneni na hali zenu sasa vijana wa ovyo
[/QUOTE]
Sasa tutafanyaje na bikra kuwapata ni bahati sana?
 
Pole kwa yaliyokukuta
Nianze kwa kusema hivi kabla hujamfukuza Je wewe hujawahi kucheat?
Na kama umewahi muombe msamaha kabla hujamfukuza, baada ya hapo utamfukuza.
Asante nawasalisha
Ninachofikiria hapa ishu ni trust,hii kitu inathamani kubwa sana,kingine bidada ana Kazi means hatatetereka suala la kazi
 
Mwanaume aliyetomba sana, ni mzoefu. Ni sifa. Mwanamke aliyetombwa sana, ni bwawa. Ni kashfa.

Bayolojia na Jamii zina mtazamo na matarajio tofauti sana baina ya mwanamke na mwanaume.
Sasa katika kutomber sana sii ndio unatomber na wake z watu bro so mambo ni level kabisa
 
Sasa mkuu mwenye malli yake si anaona huu ujumbe, Umetaja mpaka mazingira ya Nyumba.
 
hakuna watu katili kama wanawake anafanya usaliti kamani fashen,ukiona mkeo uko nae mbali kazima simu zaid ya masaa 5 ujue tayari,when other things remain constant
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…