Nimechapiwa rasmi nikaribisheni team kataa Ndoa!

Usidanganyike mkuu.. hata hao wenye bikra wanaliwa sana.. wakishaolewa tu uhuni unaanza.
Nikweli hata mimi nna ushahidi wa jamaa yangu alichapiwa na mwanamke aliyemuoa bikira. Chanzo ni kisasi mwanamke alimkamata anacheat nayeye akaanza kucheat na jamaa mwingine, ambaye alianza kumpa hela nyingi sana imefika hatua mwanamke ameshindwa kumuacha mchepuko maana anamtegemea kwenye biashara zake.
 
😡😡Mwenzi mmoja wote afanye nini au unataka huyo mchawi apate nafasi ya kuiteka nafsi ya huyo muhanga?. Huyu jamaa hatakiwa hata kuwaza mara mbili juu ya chatu huyo anayeiwinda roho yake.
 
Kuchapiwa ni Siri ya ndani mkuu. Ungemalizana nae kimya kimya, kama kumrudisha kwao n.k
Reaction ya kwanza ni ngumu mkuu, usiposhirikisha watu au mtu wa karibu esp wazee ndio mwanzo wa majanga.
 
Hata hii ni sawa ila kwa alie hide msg content kwenye notification panel hutaweza kuona ujumbe wowote na wala msg imetoka kwa nani .
Of course, hakuna sababu ya msingi kuficha ni elimu kama elimu zingine/nyingine-zo
 
Ilikuaje mkuu ?
Nilikuwa nataka nioe mkurya lakini kazaliwa na kuishi sana Kenya,yaani hatukumaliza nae hata miezi 3 ,ni mtu wa matukio flani hivi , maana mara nyingi nilikuwa natokea kwa kushitukiza nakutana na moments za ajabu sana na reaction zake utazani mwizi aliyefumaniwa ,nikavaa
Lakini ukiweza kusonga mbele songa ukiona huwezi baki nae tu japo huyo kwa sasa si wako tena kwanza atakuwa na hisia fake nawewe hata kusex nawewe atasex lakini kwa kutegea hisia za mwamba huyo mchapaji mwanamke akichepuki kirahisi bro.
Kukaa nae huyo ni tatizo wafunge hesabu tu
 
Hongera kwa kung'oa kisiki.
 
Si huwa mnatuona wajinga tunaosukuma #KATAANDOA
 
😡😡Mwenzi mmoja wote afanye nini au unataka huyo mchawi apate nafasi ya kuiteka nafsi ya huyo muhanga?. Huyu jamaa hatakiwa hata kuwaza mara mbili juu ya chatu huyo anayeiwinda roho yake.
Nashukuru Mungu hukuwa Lawyer (hakimu) kwani tungepata hasara ya kupoteza watu, kwa kuwa kazi yako ingekuwa ni kutoa hukumu za kunyonga tu, hata kabla ya kufikiria mazingira ya jumla ya tukio na uhalisia wa maisha....
Kutoa solution ya masuala magumu hakuhitaji watu wenye kutoa suluhisho kwa mihemko!
 
Utaacha wangapi bro, Hizo sababu ulizotoa hazina maana........ Tupo kwenye ulimwengu wa we need somemore. Kwahiyo mke alihitaji nyongeza ya hicho unachokipata. Kakipata kwa mshikaji. Mwana anaweza kapiga kimoja tu ila wewe kila siku ata 6. Ujue ulimwengu vizuri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…