Nimechapiwa rasmi nikaribisheni team kataa Ndoa!

Kama umethibitisha mtimue na hakikisha ndugu wanajua maana anaweza kujiua mikononi mwako ukapata shida. Piga chini haraka kaanze maisha mapya.
 
"aliamua kununua kuku wagonjwa Ili kuwaua wangu waliokua bandani na nimesha wachanja siku Moja kabla,niliposafiri kikazi kurudi nikakuta kuku wote wamekufa na yeye alianzisha kisafari mshenzi ili nisimkute nyumbani!kisa eti nauza na kuweka hela mfukoni kwani alienunua ni nani na wao wamekosa nini Hadi wawaue!!?

Malalamiko ya jamaa!!!

Hao ndio wanawake MKUU!!SASA BASI AKISHAGONGWA TU NA UKAJUA KWAMBA AMEGONGWA ATAKUANZISHIA VISA HADI UTACHANGANYIKIWA!!!
 
Aende tu mkuu..huko ni kuuwana kwa Stress.
 
Una mke mzuri aise.
Ah wee bwana sasa unataka kumuacha mkeo alafu ubakie single for life au unaleta mwanamke mwengine ndani hapo?
 
Kuchapiwa ni Siri ya ndani mkuu. Ungemalizana nae kimya kimya, kama kumrudisha kwao n.k
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…