Nimechapiwa rasmi nikaribisheni team kataa Ndoa!

Kwaiyo mkuu wanaume wakitoka nje ya ndoa sawa,ila wanawake ni roho mbaya si ndio
Sasa nani anamtafuta mwenzake na nani analipa mahali. Mahali ni kama kumnunua mke sasa ukianza kutombesha nje si unanidhulumu niliyekununua.

Mwanaume ni kawaida halafu sisi tunajua kutofautisha tamaa na upendo nje huwa ni kwenda kupandisha tu cv zetu na kufidia mapungufu madogo madogo mnayoyafanya na kubalance equilobrium maana wanawake ni wengi sisi ni wachache na tukisema tu stick na wake zetu kuna wanawake hawataliwa kabisa.
So tulieni muache papara sisi tunapenda wake zetu kuliko michepuko hata ikichomoka katikati ya gemu kwenye mchepuko huwa hatuirudishii mchepuko ndo unahangaika kuirudisha chap ili niendelee kuupiga nao. Lakini mke ikichomoka fasta abairudishia ndani ya mwizi wangu sasa si dharau hiyo.
 
Kwanini unasema show ya kibabe. Una uhakika gani unampa show yakibabe?
 
Naomba ujumbe kabisa, na sio mpenzi mtazamaji
Mara zote huwa nasema hayana mwongozo, na kwa bahati mbaya tunawapenda wanaotuumiza tunawaumiza wanaotupenda, cha muhimu uwe tayari kuyahimili maumivu bila kuleta madhara makubwa, jambo zuri ni kuwa wewe unaweza. Sio wanawake sio wanaume sote tumekuwa wasaliti, ubaya ni pale mmoja wetu akigundulika.

Usianze upya maana hata utakaempata atakuwa hivyo au awe hatari kuzidi huyo, jipe muda utafakari uyamalize.
 
Maisha yetu hatatakaa yawe sana hili ni doa kubwa sana na ni ngumu kuubeba huu mzigo moyoni kwa mtu nikae amka nae kitandani kwa miaka yangu/yetu yakuiishi iliyosalia.
 
Have a class kama mwanaume dont sleep na wake za watu
 
Ujinga huu sasa ulikuwa jinga
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…