Nimechanganyikiwa nisaidieni

We unasema laki mbili kuna jamaa yangu bumu lote aliibiwa na malaya, najua yupo humu anisamehe hatosahau, nakumbuka nilimkopesha 25, alitumia week 3[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16], mlo mmoja au mkate na maji mengi, sasahivi anapesa ni professional civil engineer ana mpunga kiasi, ila kila akikumbuka anasema sijui niliishije, Nitakuja adisia siku moja hiyo story, mana jamaa nilikua nae mabibe yeye civil mimi chemical, hua nacheka aliniambia we adisia tu
Hata wewe ndugu yangu kweli unaweza ishi miezi miwili kwa Laki? Au tunasanifiana tu

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Duuh

Ww ni mwanafunzi kweli? Usiwachoshe watu, juzi tu umesema umemaliza chuo na unashindwa kuuza maji barabarani. Kwa mwanachuo halisi hyo hela n nyingi sana na inatosha
 
kabisa mkuu, Mimi kuna kipindi chuoni nilikua natumia buku tu. Nachofanya asubuhi napiga dash, mchana naenda kwa wapishi wananipa ukoko wa jero then nadownload maji kwenye tank, jioni tena ukoko wa jero nashushia na maji ya tank naenda kulala.
 
Mbona maisha ya ajabu sana hayo

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
kabisa mkuu, Mimi kuna kipindi chuoni nilikua natumia buku tu. Nachofanya asubuhi napiga dash, mchana naenda kwa wapishi wananipa ukoko wa jero then nadownload maji kwenye tank, jioni tena ukoko wa jero nashushia na maji ya tank naenda kulala.
Kama ni ya kweli,,pole sana.
 
Nenda Chuoni ukifika utaaelekezwa na Loan Officers sawa mkuu. Ila mbona km wee una afadhar hivi kuna wenzio hali ni mbaya zaidi [emoji31]
 
Imesemwa tuwe na shukrani, Mkuu kuna waliokosa na wanatamani wapewe hata 0% wapate boom wajisomeshe.

Usiwe mwepesi kulaumu laumu bado una miaka miwili yakuona kama utapewa mkopo au laa, sasa usimkasirishe Mungu ukakosa hiyo miaka mieili ijayo.

Kuwa mpole na mwenye shukrani.
 
Sawa mkuu

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Hivi zile allocation zilizopo kwenye account ni za miaka mitatu yote na haziwez badilika ama?
 
Mbona maisha ya ajabu sana hayo

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app

Hapa watu wanakwambia ujue kuwa kuna wengi walipitia magumu lakin sio magum moja kwa moja maana wengine tulikuwa tunaenda out weekends, kula fast food & Food points za posta baadhi ya siku, kwenda Cinemas n.k maisha ya chuo sio magumu kihivyo dogo
 
Hapo Sawa nikajua labda sitatanua nikifika chuo

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…