Nimechanganyikiwa nisaidieni

Wewe mtoto nenda shule haraka,
Ningekua kaka ako ningekutia na vibao kabisa,
Hela yote hiyo uliyopewa baki laki mbili tu,
Kila semister unalipa laki moja,
Na ukithubutu kukata rufaa wanakutia zero kbsa usipate,
Wenzio wengi wana ada zero kbsa
 
usipo shukuru kwa hicho kidogo hutoshukuru kwa kikubwa ....ivi huwafikirii wenzio wengine tena watoto wa wakulima masikini..wasiojiweza huku wamekosa huo mkopo...! shukuru kwa hicho kidogo
 
MD wengine wamepata MA tu mkuu.. ni majanga hata sielewi hizo pesa zilizo ongezwa ziko wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…