Nimechanganyikiwa na Simu ya mtarajiwa wangu

Nimechanganyikiwa na Simu ya mtarajiwa wangu

Dalili zinaonesha kuwa wazazi wa binti HAWAKUTAKI so wanatafuta sababu ya kuzuia hiyo ndoa. Lakini hapo hapo kumbuka kuwa what goes around comes around!!Utatoswa kama vile ulivyomtosa mchumba wako wa kwanza kwa sababu wazazi wako walimkataa!!Historia itajirudia kwako, na natamani hili litokee ili WAZAZI WAKO WAJIFUNZE KUWA UKISHAMZAA MTOTO AKAFIKISHA 18 years HUNA MAMALAKA YA KUENDESHA MAISHA YAKE BALI UNATAKIWA UMUACHILIE AFANYE MAAMUZI YAKE BINAFSI THEN UWE MSHAURI TU NA SIO DICTATOR!!

Jiandae kwa aibu ya mwaka wewe na wazazi/familia yako.

Mkuu rejea post za nyuma utaelewa nishalifafanua hili tena na tena.

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Mkuu labda tunatofautiana mitazamo mimi na wewe juu ya kuwachukulia wazazi wetu,,,mimi mzazi wangu ndio kila kitu kwakweli siwezi kumbishia kwa Jambo lolote ni sawa sawa Mfalme kwa kijakazi wake japokuwa nimesoma Elimu zote za dini na shule.

Mfano kama huyo wa kwanza niliachana nae ila kawa rafiki yangu wa kawaida na sio adui tena. Vile vile siwez kuishi na Mke bila baraka za wazazi, tuchukulie unaoa halafu huna furaha ya kwa kutembelewa na wazazi wenu wote nyumbani kwako, wajukuu hawaendi kwa babu yao. Kuna Ulazima gani wa kulazimisha mambo kiasi hicho mkuu?

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Hapo tu umenichosha kijana!
 
ukishatoa mahari hili jambo linakuwa la kifamilia zaidi. I mean wazazi wako wanahusika, kwa hiyo hatua ya kwanza lipeleke nyumbani mkalijadili. Utu uzima dawa, kama familia mtapata suluhisho hata ikibidi kuwasiliana na familia husika. Hapo kutakuwa na uzito zaidi. Lakini kwa namna unavyoelezea naona hiyo ndoa yako hata ukija kufunga inabidi uwe bold kama mwanaume. hiyo familia ya kike ni zile za mashauzi. Kupokea posa na kukaa miezi 6 huku wanakuassess tayari hapo ni tatizo. In fact, wamekuthaminisha at lower levels.

Nashkuru mkuu kwa ushauri wako, siwezi kujificha hili Jambo nimepanga kesho niende kuwaambia wazazi no way out!!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Hapo tu umenichosha kijana!

Lazima nikuchoshe mkuu maana kila mtu ana jinsi ya kuwachukulia wazazi wake inategemea malezi aliyokulia nayo au Imani yako imekaa vipi zaidi.

Wapo ambao wanawathamini wake/wapenzi zaidi ya wazazi wake.

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Kama hamjapeana mimba una haraka gani mkuu? Be patient. Kama si wako hata ukilazimisha atakuacha tu.

Mkuu kuna sehemu gani nimesema na lazimisha?

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
ni hivi kijana wangu hapo kama alivosema Kongosho ndo uonyeshe kama wewe mwanaume au la

suala la kwamba bado yupo chini ya himaya ya wazazi wake halipo maana umeshalipa posa na mahari..kimila ni mke wako in a way na una say juu yake ndio maana hawezi kupokea mahari nyingine, hawezi kumingle na mwanaume yeyote hovyo hovyo na mengine mengi

mwite mkalishe mwambie kama anakupenda, basi hiyo safari AIFUTILIE mbali, na kwamba wewe mwenyewe umeikataa. Kuwa wa mwisho sio kigezo cha yeye kuwa yaya.....atafutwe ndugu mwingine kama vipi. Tukio la ndoa ni la mara moja tu katika maisha (ceteris paribus) sasa asipolichukulia kwa uzitto itajaleta shida mbeleni!!

Ndimi, Kaizer.

CC Kongosho snowhite Asprin Fidel80 RR Kaunga Fixed Point Mr Rocky
 
Last edited by a moderator:
Ni jana nimepigiwa Simu usiku so sijaenda bado kwa wazazi kuwapa taarifa.
Wangenidharau lkn wasingekubali nimuoe Binti yako japokuwa walikaa miezi6 kunichunguza ndio posa ikakubaliwa.
Mkuu nitaonesha uanaume kivp labda maana Binti hayuko mikononi kwangu so any thing inaweza tokea like kurudishiwa mahari. Msimamo wangu nimekataa asiende huko.

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Hivi kweli hakuna hata ndugu wa mke aende huko ili nyinyi mfunge ndoa yenu? Yaani kwanini kuna ulazima wa huyu binti ndo aende wakati wanajua kuwa anampango wa kuolewa just a month from now? Hata mimi nadhani hawataki umwoe, wameshtuka baada ya kuwa wamekubali posa yako. Lakini huyo binti naye kwanini asikomae kwa wazazi wake wasubiri aoelewe ndio aende? kama inahitajika sana yeye kwenda?
 
Ingekuwa kwetu, mzee keshakabidhi mke kitambo, wala huwa hasubiri harusi, mtafanya nyie mbele kwa mbele.

Sasa nashangaa dogo mkewe anasafirishwa bila yeye kushirikishwa, khah!

ni hivi kijana wangu hapo kama alivosema Kongosho ndo uonyeshe kama wewe mwanaume au la

suala la kwamba bado yupo chini ya himaya ya wazazi wake halipo maana umeshalipa posa na mahari..kimila ni mke wako in a way na una say juu yake ndio maana hawezi kupokea mahari nyingine, hawezi kumingle na mwanaume yeyote hovyo hovyo na mengine mengi

mwite mkalishe mwambie kama anakupenda, basi hiyo safari AIFUTILIE mbali, na kwamba wewe mwenyewe umeikataa. Kuwa wa mwisho sio kigezo cha yeye kuwa yaya.....atafutwe ndugu mwingine kama vipi. Tukio la ndoa ni la mara moja tu katika maisha (ceteris paribus) sasa asipolichukulia kwa uzitto itajaleta shida mbeleni!!

Ndimi, Kaizer.

CC Kongosho snowhite Asprin Fidel80 RR Kaunga Fixed Point Mr Rocky
 
Lazima nikuchoshe mkuu maana kila mtu ana jinsi ya kuwachukulia wazazi wake inategemea malezi aliyokulia nayo au Imani yako imekaa vipi zaidi.

Wapo ambao wanawathamini wake/wapenzi zaidi ya wazazi wake.

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Ila kwa msimamo wako huu, nakuhakikishia utateseka sana... lazima wewe kama mwanaume uwe na msimamo wako.. nakuambia kwa uzuoefu wa miaka mingi kwenye ndoa..

Huwakatalii, ila unawaelekeza kwa heshima kubwa.. sijui wewe utaamua vipi ugomvi wa mkeo na mama yako.. maana huo mara chache sana kukosa kutokea... sijui utaacha wangapi..
 
Hii ndoa inalazimishwa na wazazi an ndugu zake hawako radhi kulingana na mambo yalivyo. Chukulia kawaida muache aende na endelea na maandalizi ila chukua tahadhali pia wakati unafanya mchakato huo kwani wakati wowote unaweza aambiwa visa imeshindikana na ameamua kuendelea na masters. Kama yeye ndiye mwenye hitaji kubwa la ndoa kwanini uchanganyikiwe?
 
Sijui kwa kweli inawezekana wamefanya hivyo maana posa ilikaa miezi 6 sijajibiwa ila mwisho wa siku walikubali.

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Nahisi waliikubari ili kumfurahisha binti then now ndo wanafanya kweli ili ndoa isiwepo kabisa

Sent from my iPhone 4s using JamiiForums
 
Mkuu rejea post za nyuma utaelewa nishalifafanua hili tena na tena.

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Huwa simuelewi mwanaume anayeachana na mwanamke ampendae kwa sababu ya wazazi!!In general mwanaume huyo ana jina moja tu NI DHAIFU NA HANA SIFA YA KUWA MUME/BABA WA FAMILIA.
 
aisee habari ya siku WALIMWEUSI....pole kwa kuchoshwa ila tunatofautiana kimtizamo...mimi na wewe tunaweza kukubaliana hapo..ila yeye na mwingine ndo vile tena wakawa tofauti

Kwahiyo mkuu na wewe uko radhi ukosane na wazazi wako kisa m/mke?
Kwangu mimi m/mke nitaiweka kupata mwingine lakini sio kupata mzazi mwingine. Period

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Last edited by a moderator:
Huwa simuelewi mwanaume anayeachana na mwanamke ampendae kwa sababu ya wazazi!!In general mwanaume huyo ana jina moja tu NI DHAIFU NA HANA SIFA YA KUWA MUME/BABA WA FAMILIA.

Unless kwa sababu nzito sana ambazo wazazi wamezijua wewe hukuzijua... lakini hata mimi sikubaliani na swala la kuwa hatumpendi tu... haiwezekani...
 
Kwahiyo mkuu na wewe uko radhi ukosane na wazazi wako kisa m/mke?
Kwangu mimi m/mke nitaiweka kupata mwingine lakini sio kupata mzazi mwingine. Period

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Huwezi kukosana nao.. kikubwa wakueleze kwanini hawamtaki na sababu iwe ya msingi, bila hivyo ni lazima usimame uwaelekeze kwanini hukubaliani nao na maisha lazima yaendelee kwa amani.
 
Back
Top Bottom