Hilo hata mimi nina wasiwasi nalo lakini la kujiuliza kwanini wamepokea mahari?
Point yao ni kwenda na kurudi kwa mwezi mmoja!
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Hawa wote hawana msimamo
- Kijana hana msimamo tangu alipoamuliwa na wazazi wake mke
- Binti nae wazazi wake wanamuingilia hadi kwenye mambo muhimu nae anawachekea tu!
Tatzo lipo pale pale, mwnzo mulitaka kulazimisha ndoa na huyo mchumba wako wa kwanza ikashindikana kutokana na wazazi wako kupinga, huyu nae pia mumelazimisha wakati upande wa binti hawajawa tyari
Sasa ushauri wangu kwako ni utulize munkari wa ndoa alafu utafakari unachofanya maana utakuja kulazimisha alafu mbeleni uje ujute zaidi ya sasa
Tatizo mkuu sio sina msimamo maana itakua ndoa gani haina baraka kwa wazazi maana huyo Mke wng na ndugu zangu wala wazazi wetu hawawezi kutembeleana? Ingekua ndoa yetu ya watu wawili tuu na what if mkija kuachana na huku ulikosana na wazazi wako? Haya yote mkuu niliyaangalia kwa kina sana kabla sikulazimisha.
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Tatizo mkuu sio sina msimamo maana itakua ndoa gani haina baraka kwa wazazi maana huyo Mke wng na ndugu zangu wala wazazi wetu hawawezi kutembeleana? Ingekua ndoa yetu ya watu wawili tuu na what if mkija kuachana na huku ulikosana na wazazi wako? Haya yote mkuu niliyaangalia kwa kina sana kabla sikulazimisha.
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Ni shiida kaka alafu wazazi wakishaamua basi ukipinga kivivu unaachiwa laana.Mimi ningekushauri swala la ndoa lipe muda kidogo aende huko ulaya labda mpaka miez sita ipite ndio uanze kukomalia tena.
Kama ni wako basi atazidi kuwa wako,ni suala la muda tu.
in reality for that age ni mapema sana trust me ......ndoa ? ndoa? ndoa? any way am too negative to this at least ungekuwa na miaka 32 hapo ningekushauri............... 28 ? 28? yani ujue unamiaka 45 ndani ya ndoa unamwona huyo huyo bibie kila siku mmmh mh huuuuuu hapana kwa kweli .... any way take my word NYIE BADO NI WATOTO ... 25girl boy 28.... mmefanya maamuzi makubwa sana na magumu kwa zamani sawa, kwa now hapana kwa sababu mtoto anajitambua akiwa na miaka 23 ... kwa hiyo tokea mjitambue binti ni miaka 2 na wewe ni miaka 4.... think think think again...Tarehe 27/10 natimiza 28
Kwa huyu Binti sidhani maana kama kuna mtu ambaye anahitaji ndoa ni yeye nafikiri kuliko mimi.
Mimi kuwa na 28 sidhani kama bado ni mtoto maana najitambua na nahitaji ndoa kwakweli.
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
We ni Mzanzibari?
Hapana mkuu mi ni Arusha na Dodoma
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
in reality for that age ni mapema sana trust me ......ndoa ? ndoa? ndoa? any am too negative to this at least ungekuwa na miaka 32 hapo ningekushauri 28 ? 28? yani ujue unamiaka 45 ndani ya ndoa unamwona huyo huyo bibie kila siku mmmh mh huuuuuu hapana kwa kweli .... any way take my word NYIE BADO NI WATOTO ... 25girl boy 28.... mmefanya maamuzi makubwa sana na magumu.... zamani sawa now mtotot anajitambua akiwa na miaka 23 ... kwa hiyo tokea mjitambue binti ni miaka 2 na wewe ni miaka 4.... think think think again...
No comment...kule ndo huwa wana swaga hizo.
Utachunguzwa hadi unalala wapi..
mdau pole sana,lakin hata kama litatokea,let say LUTATOKEA ni mambo ya kawaida sana,,,na litapita hilo
in reality for that age ni mapema sana trust me ......ndoa ? ndoa? ndoa? any way am too negative to this at least ungekuwa na miaka 32 hapo ningekushauri............... 28 ? 28? yani ujue unamiaka 45 ndani ya ndoa unamwona huyo huyo bibie kila siku mmmh mh huuuuuu hapana kwa kweli .... any way take my word NYIE BADO NI WATOTO ... 25girl boy 28.... mmefanya maamuzi makubwa sana na magumu kwa zamani sawa, kwa now hapana kwa sababu mtoto anajitambua akiwa na miaka 23 ... kwa hiyo tokea mjitambue binti ni miaka 2 na wewe ni miaka 4.... think think think again...
Kwa huyu mchumba siko nae shaka hata kidogo kwakweli.
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app