stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,765
- Thread starter
- #161
Huwa simuelewi mwanaume anayeachana na mwanamke ampendae kwa sababu ya wazazi!!In general mwanaume huyo ana jina moja tu NI DHAIFU NA HANA SIFA YA KUWA MUME/BABA WA FAMILIA.
Narudia tena mkuu kila mtu ana mitazamo na jinsi anavyowachukulia wazazi wake waliomleta Duniani kwa msaada wa Mungu. Maana bila hao wazazi nisingemjua hata huyu Mke.
Hapo ni vigumu kuelewana ni sawa sawa ulazimishe Chanya na Hasi vishikane. Kikubwa kila mtu abaki na misimamo yake
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app