mamsapkhan
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 843
- 267
Labda chozi la yule binti alokataliwa na wazazi wako ndo linalipwa, na wewe unakataliwa na wazazi wa mtarajiwa wako...labda Karma...
Ila tuliza moyo, kama ndoa ipo ipo tu, hata aende wapi...atarudi.
Ngoma droo fimbo ya mnyonge hulipwa na mungu