Nimechanganyikiwa na Simu ya mtarajiwa wangu

Kama mnaaminiana usingekuja kuuliza hapa maswali ambayo ylipaswa kumuuliza huyo mwanamke wako.

Unakuja hapa kuuliza kama atarudi au anaenda kusoma masters wakati wewe ndiye uko naye, halafu bado unataka tuamini kwamba mnaaminiana?

Mkuu una habari kuaminiana ni kitu cha ndani kabisa ambacho kwa uhalisia huwezi kuona?
Vipi wale ambao ni mtu na Mke wake na mtu anamuacha kwenye mataa ili hali waliaminiana. Vitu vingine tumenyimwa kuvijua kwa Undani ni Siri ya mtu moyoni mwake na Moyo wa mtu ni kiza kinene.

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Mwanaume anapevuka akiwa na miaka mingapi miss chagga

To me mwanaume kupevuka inategemea na maisha aliyoishi ila wengi miaka 30 wanakuwa at least unaina anauwezo wa kuwa baba ..... kwa walio ishi maisha yenye changamoto kidogo miaka 28 lakin huyu hapa akifika miaka 30 ndiyo atajielewa
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hatakiwi kulia,anatakiwa atoe kauli tu,asame mimi siendi najiandaa na mipango ya ndoa,

Kauli alishasema kuwa hawezi kwenda anajitayarishaa shughuli yake mbeleni!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Ataniamulia vipi wakati ashakuwa Mke wangu hapo baadae?
Sasa hivi ni kweli ana haki hizo

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

huamini?
oa huyo binti!
najua hutaweka thread ila utaniambia hata kwa pm!
nakutahadharisha tu mdogo wangu si kwamba nakuombea shari"
 
Like I say (sijui ya ndani) maana kuta 4 zinaficha mambo mengi

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Yah u should step out and be u not them.... usiangalie jamii itasema nini jiangalie wewe furaha ya maisha yako baada ya jamii kufurahi.... bora kukosea kujenga nyumba kuliko kukosea kuoa au kuolewa ....
 
Mkuu una habari kuaminiana ni kitu cha ndani kabisa ambacho kwa uhalisia huwezi kuona?
Vipi wale ambao ni mtu na Mke wake na mtu anamuacha kwenye mataa ili hali waliaminiana. Vitu vingine tumenyimwa kuvijua kwa Undani ni Siri ya mtu moyoni mwake na Moyo wa mtu ni kiza kinene.

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Inaonekana.ni cha.ndani.sana kiasi hata wewe unashindwa kujua kama mnaaminiana au hamuaminiani.

Ukweli kwamba umekuja kuuliza hapa kama atarudi au harudi, wakati mtu unaye huko, kinaonyesha kwamba humuamini.

Ungemuamini ungemuuliza mwenyewe.
 
Tupe machache......yana umuhimu sana.

Mkuu itakua ni Uzi juu ya Uzi,,, naomba tu michango ya Jambo hili kwasasa maana lilie lishapita na halitowezekana kujirudia sana sana nitaanza kukumbuka machungu na Mungu anisamehe ilifikia hatua nilichukia mno wazazi wangu lkn nilijirudi baada ya kuelewa kosa langu.

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Mkuu una habari kuaminiana ni kitu cha ndani kabisa ambacho kwa uhalisia huwezi kuona?
Vipi wale ambao ni mtu na Mke wake na mtu anamuacha kwenye mataa ili hali waliaminiana. Vitu vingine tumenyimwa kuvijua kwa Undani ni Siri ya mtu moyoni mwake na Moyo wa mtu ni kiza kinene.

Unaweza ukamuamini mtu na bado akakutenda vilevile. Tena nadhani uwezekano wa kutendwa ukiwa unamuamini mtu ni mkubwa zaidi.

Kwa hiyo kuaminiana kwenye mapenzi ni hivyo tu - yaani ni kudhani mwenzako hafanyi yale ambayo mmekubaliana kutofanya.

Lakini kudhani huko hakumzuii mtu kutenda atakalo. So much with kuaminiana!
 
Inaonekana.ni cha.ndani.sana kiasi hata wewe unashindwa kujua kama mnaaminiana au hamuaminiani.

Ukweli kwamba umekuja kuuliza hapa kama atarudi au harudi, wakati mtu unaye huko, kinaonyesha kwamba humuamini.

Ungemuamini ungemuuliza mwenyewe.

Ni cha ndani ndio maana huwezi kujua Moyo wake au mtu anawaza nini sasa hivi.
Kama nilivyo sema unaweza kumuamini Mke wako na vile vile ukamsaliti ila ukawa unamuamini kuwa ye hawez kunisaliti. Umeweka dhana kwakuwa umemuamini

Mfano umemuamini rafiki yako mfinye Biashara mwisho wa siku akakutapeli, kwahiyo dhana ya kuamini ni kiza ndani ya Moyo wa mtu!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Mkuu itakua ni Uzi juu ya Uzi,,, naomba tu michango ya Jambo hili kwasasa maana lilie lishapita na halitowezekana kujirudia sana sana nitaanza kukumbuka machungu na Mungu anisamehe ilifikia hatua nilichukia mno wazazi wangu lkn nilijirudi baada ya kuelewa kosa langu.

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Basi kwa ufupi ile dhambi inakutafuna
 
Unaweza ukamuamini mtu na bado akakutenda vilevile. Tena nadhani uwezekano wa kutendwa ukiwa unamuamini mtu ni mkubwa zaidi.

Kwa hiyo kuaminiana kwenye mapenzi ni hivyo tu - yaani ni kudhani mwenzako hafanyi yale ambayo mmekubaliana kutofanya.

Lakini kudhani huko hakumzuii mtu kutenda atakalo. So much with kuaminiana!

Naam Maalim wangu na ndio nilichokuwa na mjibu Kiranga hapa ye anavyooneka ni kama vile unajua anachowaza mtu ndani ya kichwa chake wakati hilo Jambo ni gumu sana!!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Last edited by a moderator:
Basi kwa ufupi ile dhambi inakutafuna

Hainitafuni mimi kwasababu sikumkataa kumuoa naomba unielewe labda iwatafune wazazi wangu maana hilo Jambo nashkuru alikuja kulielewa kuwa hakubaliki UKWENI ilikuwa muda sana kukubali hali halisi lkn cha ajabu na yeye ndio alikuja kuniambia "mi na nafasi moyoni mwako ila wazazi wana nafasi zaidi" hayo maneno sitokaa ni yasahau Maishani mwangu.

Kama dhambi ya wazazi inanitafuna mimi mwenyewe huyu Mungu hayupo fair

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Naam Maalim wangu na ndio nilichokuwa na mjibu Kiranga hapa ye anavyooneka ni kama vile unajua anachowaza mtu ndani ya kichwa chake wakati hilo Jambo ni gumu sana!!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Kiufupi ushakubali kwamba humuamini.
 
Last edited by a moderator:
Yah u should step out and be u not them.... usiangalie jamii itasema nini jiangalie wewe furaha ya maisha yako baada ya jamii kufurahi.... bora kukosea kujenga nyumba kuliko kukosea kuoa au kuolewa ....

Furaha ya maisha yangu ikisema ni mtoroshe hii unaionaje?
Ni kweli kukosea kuoa ni bora ukosee kujenge nyumba utarekebisha.

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Labda chozi la yule binti alokataliwa na wazazi wako ndo linalipwa, na wewe unakataliwa na wazazi wa mtarajiwa wako...labda Karma...

Ila tuliza moyo, kama ndoa ipo ipo tu, hata aende wapi...atarudi.

hapo kama kuna point hvi
 
Kiufupi ushakubali kwamba humuamini.

Mkuu sijasema simuamini ndio maana kuna doubts ktk maisha ya kila siku.
Mbona Ustaadh Swaleh kakufafanulia vizuri tu hapo juu?

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Last edited by a moderator:
Kweli mkuu what's goes around comes around,,,hawa wazazi saa nyingine wana dhambi kubwa sana mbele ya Mungu sema ndo hivyo tu dini zinatuaminisha ni Mungu zetu wa pili hapa Duniani.

Ni kweli wazazi ni Mungu Wa Pili ila wanatukatili Sana.
 
Back
Top Bottom