miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
Kwa huyu Binti na kataa kwakweli maana kawa madlove kabisaa kwangu labda km kubadilika ni jana. Kama kunikataa tokea alivyomaliza angesema nimuache kwanza hadi amalize hiyo mastes!!
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Binti aliyekataliwa na wazaz wako alikuwa ana kasoro gani???