Nimechanganyikiwa na Simu ya mtarajiwa wangu

Nimechanganyikiwa na Simu ya mtarajiwa wangu

stata mzuka, hongera, hope moyo wako una amani sasa
Nasubiri card ya kuhudhuria harusi hiyo mwezi ujao
Ahsante mkuu, Moyo umetulia kabisaaaa
Haya tuombe uzima tu!

Ahsante sana mkuu..

Haya Hongera sana mdogo wangu
Ahsante sana dada yangu mnipokee kwa mikono miwili kwenye maisha hayo mapya!

Pole kwa Presha ya ghafla iliyotaka kupoteza furaha yako
Ahsante mkuu nimeshapoa sasa hivi!

hongera na unialike ole wako
Ha ha ha ha usijali nitakualika my dia,,,Na wewe nakuombea hiyo miss chagga ibadilike iwe Mrs.

Haya hongera utuletee na kadi za mualiko tu, kama ulivyokua unaomba ushauri
Ahsante sana mkuu, usijali tuombe uzima tuu!!



Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Last edited by a moderator:
Ahsante mkuu, Moyo umetulia kabisaaaa
Haya tuombe uzima tu!


Ahsante sana mkuu..


Ahsante sana dada yangu mnipokee kwa mikono miwili kwenye maisha hayo mapya!


Ahsante mkuu nimeshapoa sasa hivi!


Ha ha ha ha usijali nitakualika my dia,,,Na wewe nakuombea hiyo miss chagga ibadilike iwe Mrs.
Sawa mkuu niombee niwe mrs mzuri nimpende mume na watoto
 
Last edited by a moderator:
huyo hapo hakijaeleweka wala nini..... wazee wamemzuga labda washenga walienda na majambia wazee wakaona wapooze soooo, subiri akishaoa na kukaa naye miaka 2 bila wakwe kumtuma mamtoni ndo aje atuambie kafaulu....
All in all nakutakia kila la heri kwa haja ya moyo wako...... ngoja nikaimbe mie..... Kaizer twende zoezini

Ha ha ha ha lol...eti majambia! Nikishaoa ndio nitakua na meni rasmi hakuna kwenda kwa baba bila ruksa yangu!
Ahsante mkuu!!


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Last edited by a moderator:
Sawa mkuu niombee niwe mrs mzuri nimpende mume na watoto

Aamen nakuombea wangu usijali,, upate Mume mwenye mapenzi na wewe mwenye kumuogopa Mungu na watoto wema!


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Nimefurahi sana kuona jinsi ulivyofurahia.. inatia moyo sana kama kijana unafuraha namna hii kwa ndoa yako.. maana kuna wengine wanatukana kabisa ndoa na kuona ni ujanja ujanja tu..

Nakutakia kila lakheri katika tukio hilo muhimu kwa maisha yenu.

Acha tu mkuu I'm so happy sana na naomba tu awe Mke mwenye baraka na mimi, hao wanaotukana sidhani kama wanajua maana ya ndoa kwakweli!
Ahsante sana mkuu tuko pamoja na karibu sana!!


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Ahsante mkuu, Moyo umetulia kabisaaaa
Haya tuombe uzima tu!


Ahsante sana mkuu..


Ahsante sana dada yangu mnipokee kwa mikono miwili kwenye maisha hayo mapya!


Ahsante mkuu nimeshapoa sasa hivi!


Ha ha ha ha usijali nitakualika my dia,,,Na wewe nakuombea hiyo miss chagga ibadilike iwe Mrs.


Ahsante sana mkuu, usijali tuombe uzima tuu!!



Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Karibu ulinhoni, maisha haya ni matamu sana ukimpata right person
 
Last edited by a moderator:
mwache aende asiporudi nenda kachukue mahari yako kwa wazazi huwezi kujua mungu anakuepushia nn yeye kuondoka mapenzi yanatoka moyoni best hata ukilazimisha hatasaidia kama anakupenda atarudi asiporudi basi hana mapenzi na wewe atakuwa tapeli wa mapenzi
 
ningekuwa mimi,ningemuacha aende na ningewaeleza wazazi wangu kila kitu,then ningesubiri kuona movie inavyoenda,asiporudi then ningejua sikuwa nimepangiwa na mungu kuwa nae,niliyepangiwa atakuja tu,bora hata hiyo ya kwako,watu wanaachwa mataa siku ya harusi yenyewe.
NB: my slogan "dnt take luv too seriously"

Hii slogan yk unanisema mm lin
 
Last edited by a moderator:
LATEST NEWS:-
WAKUU LEO NIMEFURUDISHIWA FURAHA YANGU ILIYOANZA KUPOTEA,,,Kifupi ni kwamba washenga wametupa majibu kuwa safari ya yule Binti haitokuwepo na Baba Mkwe kumbe alikuwa hana nia mbaya kama nilivyo kuwa nafikiri hapo mwanzo na baadhi ya wachangiaji, alikuwa atutafute hiyo jMosi kutuomba kusogeza harusi mbele iwe November kwani mtarajiwa wangu alikuwa aende na dada yake kama"BabySit" na manunuzi baadhi ya mahitaji yake kule ya harusi.
Baada ya kuona zimetokea sintofahamu mzazi wake amekubali tuendelee na tarehe ile ile tuliyopanga hapo awali na hivyo vitu dada mtu atamtumia huku huku Tz atavipata, so wala haikuwa Big Issue sana wakuu ni wasi wasi tu niliokuwa nao nikajua NJIWA wangu atapeperuka...ALHAMDULILLAH I'm happy!

cc:- Asprin Kongosho EMT dikembe @Husinyo mzabzab Kyenju Kaizer watu8 Kiranga swagazetu Mnyabwilo Elyer mojoki rodney jr. Wallet Dark City cacico masandare MR. CONFIDENT Kurunzi miss chagga snowhite ram Richman PetCash Mapi Kibo10 momentoftruth Suprise BAK Young kabugira sokwe ritzy Kiraka kimnana Fixed Point mrsleo harakat FirstLady1 charminglady kabanga Mzee Wa Republican Samboko Lighondi Mama Mdogo Bulldog Fidel80 RR Baba V kiwatengu frankclemence Asnam Lipa Kwanza Malila data Mamndenyi MankaM muuza ubuyu KRISTIAN P Kim nana BOMBAY Daud omar

Mucho love wakubwa zangu na wadogo zangu kwa ushauri wenu...na wote ambao sijawataja tuliokuwepo mwanzo wa Uzi


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Oya kipunga lini mwana?
 
Back
Top Bottom