Nimechanganyikiwa na Simu ya mtarajiwa wangu

Stata utanisaheme kwa comment ila ukweli ni kuwa you seem and sound so Immature , yani soo imature . Simaanishi una umri mdogo lahasha ila kifikra dah.Unaposema mimi kwangu wazazi ni kila kitu hawawezi kuniambia kitu nikakataa yani hata wakisema mwache mchumba unamwacha (they could have valid reasons) ila umedhihirisha kuwa either hujiamini katika maamuzi wala huamini kuwa unaweza kuweka strong arguments kushawishi wazazi wako waelewe maamuzi yako.

Pili umedhihirisha kuwa labda wazazi wako hawaamini choises na maamuzi yako ndio maana walikuamulia umuache mchumba wa mwanzo.

Kwenye maisha utakumbana na situations zitakazokulazimu usisikilize maoni ya mzazi while at the same time maintaning their level of trust in you.

Tatu unaonekana uko too posesive ila coment unasema "kwa kuwa sina mamlaka naye"--usijidanganye kuwa ukimuoa utakuwa na mamlaka naye. Ndoa ni masikilizano tu. Kwa mitizamo yako ya maisha u are far from there.

Nne ni kama hofu yako ipo katika siku ya harusi na si ya maisha ya ndoa. Unahofia mahari, uliyowaambia watu pengine na michano. Hivi ni vitu vidogo sana kwa maisha yako ya ndoa .Hofia kuhusu upendo wenu na jinsi mtakavyodumu regardless mmeoana leo au next year.

I like u umeongea ukweli
 
LATEST NEWS:-
WAKUU LEO NIMEFURUDISHIWA FURAHA YANGU ILIYOANZA KUPOTEA,,,Kifupi ni kwamba washenga wametupa majibu kuwa safari ya yule Binti haitokuwepo na Baba Mkwe kumbe alikuwa hana nia mbaya kama nilivyo kuwa nafikiri hapo mwanzo na baadhi ya wachangiaji, alikuwa atutafute hiyo jMosi kutuomba kusogeza harusi mbele iwe November kwani mtarajiwa wangu alikuwa aende na dada yake kama"BabySit" na manunuzi baadhi ya mahitaji yake kule ya harusi.
Baada ya kuona zimetokea sintofahamu mzazi wake amekubali tuendelee na tarehe ile ile tuliyopanga hapo awali na hivyo vitu dada mtu atamtumia huku huku Tz atavipata, so wala haikuwa Big Issue sana wakuu ni wasi wasi tu niliokuwa nao nikajua NJIWA wangu atapeperuka...ALHAMDULILLAH I'm happy!

cc:- Asprin Kongosho EMT dikembe @Husinyo mzabzab Kyenju Kaizer watu8 Kiranga swagazetu Mnyabwilo Elyer mojoki rodney jr. Wallet Dark City cacico masandare MR. CONFIDENT Kurunzi miss chagga snowhite ram Richman PetCash Mapi Kibo10 momentoftruth Suprise BAK Young kabugira sokwe ritzy Kiraka kimnana Fixed Point mrsleo harakat FirstLady1 charminglady kabanga Mzee Wa Republican Samboko Lighondi Mama Mdogo Bulldog Fidel80 RR Baba V kiwatengu frankclemence Asnam Lipa Kwanza Malila data Mamndenyi MankaM muuza ubuyu KRISTIAN P Kim nana BOMBAY Daud omar

Mucho love wakubwa zangu na wadogo zangu kwa ushauri wenu...na wote ambao sijawataja tuliokuwepo mwanzo wa Uzi

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Haya Hongera sana mdogo wangu
 
hongera na unialike ole wako
 
Haya hongera utuletee na kadi za mualiko tu, kama ulivyokua unaomba ushauri
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Nimefurahi sana kuona jinsi ulivyofurahia.. inatia moyo sana kama kijana unafuraha namna hii kwa ndoa yako.. maana kuna wengine wanatukana kabisa ndoa na kuona ni ujanja ujanja tu..

Nakutakia kila lakheri katika tukio hilo muhimu kwa maisha yenu.
 
Tafuta shule huko America uambatane naye au umeshamaliza vyuo vyote?

Nakubaliana na mchangiaji wa kwanza kwamba tulia huwezi pata majibu humu. Washirikishe wazazi wako, dada zako na kaka zako mvute subira. Kama ni wako ni wako tu atarudi mtaendelea na mipango ya ndoa. Kama ndo wazazi wake wameamua kumtorosha ili usimuoe, basi si rizki, huwezi kulazimisha, japo najua unaumia.
 
Mke wangu.... Kaniitie snowhite, King'asti, Kaizer, cacico, BADILI TABIA, Fixed Point Mentor na wachakachuzi wengine wote waliobobea tuanze uchakachuzi.... Kimeshaeleweka kwa stata mzuka kilichobaki ni kupanga mipango mikakati ya kuchepuka na bia weekend hii kabla kina Mtambuzi hawajafuturu jumanne.
huyo hapo hakijaeleweka wala nini..... wazee wamemzuga labda washenga walienda na majambia wazee wakaona wapooze soooo, subiri akishaoa na kukaa naye miaka 2 bila wakwe kumtuma mamtoni ndo aje atuambie kafaulu....
All in all nakutakia kila la heri kwa haja ya moyo wako...... ngoja nikaimbe mie..... Kaizer twende zoezini
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom