the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,929
Simama kiume waambie aende ila tarehe ya harusi ikifika na hajarudi basi wakucount out na gharama samehee,ukilazimisha ndoa kesho utalazimisha talaka ndugu ndoa ni baraka
Hahaha, mtu mzima unashindwa kusoma hata picha!
Tarehe 27/10 natimiza 28
Kwa huyu Binti sidhani maana kama kuna mtu ambaye anahitaji ndoa ni yeye nafikiri kuliko mimi.
Mimi kuwa na 28 sidhani kama bado ni mtoto maana najitambua na nahitaji ndoa kwakweli.
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Jamaa bado mdogo sana
Asubirie kwanza akue ndo afikirie kuoa otherwise itakuwa shidaaa
Dahh nmepitwa na mambo leooo.....pole sana kisicholiziki akiliki na mke mwema hutoka kwa mungu kwaiyo ucjar kama mung kakupangia awe mkeo atakua tu na kama haijapangwa hata abaki bila kwenda amerca haitakua tu we muombe mung ndio muweza ya yote japoo inaumaga sanaa
Naona amekuwa mbishi sana........ any way mwache aojiongezew anataka kubaka ndoa
Mkuu mi nakushauri uhairishe hiyo harusi mpaka arudi ndio uendelee na mipango yako ucje pata hasara pamoja na aibu, na umjulishe yeye pamoja na ndugu wa pande zote kwa maamuzi yako.
Hapo kama kuna kitu nyuma ya pazia watakukubalia kirahisi, ila kama watakukatalia na kukuhakikishia uendelee na maandalizi fanya hivyo.
Tatizo mkuu sio sina msimamo maana itakua ndoa gani haina baraka kwa wazazi maana huyo Mke wng na ndugu zangu wala wazazi wetu hawawezi kutembeleana? Ingekua ndoa yetu ya watu wawili tuu na what if mkija kuachana na huku ulikosana na wazazi wako? Haya yote mkuu niliyaangalia kwa kina sana kabla sikulazimisha.
huksema sbb ya wazazi wako kumkataa mchumba wako wa kwanza
Upo desperate sana na ndoaa?
Jifanye mjinga, kila anachosema kubali. Akirudi toka marekani mwambie muachane tafuta mwanamke anaejielewa.
Hayupo serious kabisa
Tatizo mkuu sio sina msimamo maana itakua ndoa gani haina baraka kwa wazazi maana huyo Mke wng na ndugu zangu wala wazazi wetu hawawezi kutembeleana? Ingekua ndoa yetu ya watu wawili tuu na what if mkija kuachana na huku ulikosana na wazazi wako? Haya yote mkuu niliyaangalia kwa kina sana kabla sikulazimisha.
huksema sbb ya wazazi wako kumkataa mchumba wako wa kwanza
Rejea post za nyuma mkuu nilishalifafanua sana hili.
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Yaani unashindwa kuwaambia wazasi wako ambao wana influence kwa wakwe zako unakimbilia kutuambia hapa?
Kwa kifupi wazazi wa mtarajiwa wanakudharau na hiyo ndoa wataiongoza kwa remote.
Au hawakutaki?
Huu ndo muda wa kuonesha uanamme wako.