Nimechanganyikiwa na Simu ya mtarajiwa wangu

Miss Chagga kasema ukweli. Kwa ulivyochanganyikiwa na kuoa aliyesoma ulaya na kutaka sifa unaona ushauri wowote wa kukuponya na presha ni upotoshaji. Iwapo ndoa itakuwepo itakuwa ni moja ya familia yenye vituko vya hali ya juu ktk sayari hii. Kwa kupenda sifa za huku nje, itabidi uwe zoba ili ndoa hiyo idumu. Familia yake haikutaki na yeye mwenyewe hataki kimya kimya! Angetaka angekataa kila kitu kutoka kwa familia yake na wangemkubalia. Utoto wa kuchaguliwa mchumba unakurudia. Huwezi kutushawishi eti wazazi wako walikataa bila kutupa sababu za msingi. Waeleze ukweli kuwa walimkataa mchumba wako na ww ni zamu yako ili iwang'ate! Kisha achana na mpango wa kumuoa huyo gegedu. Iwapo utabahatika kuoa, rudi hapa baada ya mwaka mmoja utueleze utakavyokuwa unafaidi utumwa wa wakwe, mke na jamaa zake.

ndoa inaota mbawa hiyoooooooo ikimbize

uanaume unaosemwa hapa ni kupinga huyo mchumba wako asiende huko usa zaid ya hapo vunja mahusiano

Sawa wakuu nashkuru kwa ushauri wenu,,,Respects!!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
ni hivi kijana wangu hapo kama alivosema Kongosho ndo uonyeshe kama wewe mwanaume au la

suala la kwamba bado yupo chini ya himaya ya wazazi wake halipo maana umeshalipa posa na mahari..kimila ni mke wako in a way na una say juu yake ndio maana hawezi kupokea mahari nyingine, hawezi kumingle na mwanaume yeyote hovyo hovyo na mengine mengi

mwite mkalishe mwambie kama anakupenda, basi hiyo safari AIFUTILIE mbali, na kwamba wewe mwenyewe umeikataa. Kuwa wa mwisho sio kigezo cha yeye kuwa yaya.....atafutwe ndugu mwingine kama vipi. Tukio la ndoa ni la mara moja tu katika maisha (ceteris paribus) sasa asipolichukulia kwa uzitto itajaleta shida mbeleni!!

Ndimi, Kaizer.

CC Kongosho snowhite Asprin Fidel80 RR Kaunga Fixed Point Mr Rocky

Mpaka sasa najuiliza kwanini huyu JK hakukuteua kuwa mjumbe wa kamati ya rasimu ya katiba mpya? Nondo kama hii Papa Francis akiisoma ataruhusu mapadre wa kutoka kwenye chama chetu waoe..... na kina snowhite tutawawowa tena na tena na tena.

Baada ya kusema hayo hom boi wangu hebu naomba unambie hii sredi inadiskashen makitu gani???

Nje ya Mada: Mwenyekiti napenda kukufahamisha kuwa Khantwe amenishinda naomba kibali chako nikamatemo shemeji yako mpya. Tafazali nichaguliemo kwa PM mabazazi wasione. (Am sore Kongosho, nalazimika kudumisha mila hapa)
 
Last edited by a moderator:
Ni hivi,,safari yangu ya mahusiano wa kimapenzi nikiwa najitambua ni wasichana wawili tofauti na ktk vipind tofauti, huyu wa kwanza tulikuwa nae mtaani na nilidumu nae 2yrs and half na nilifikia hatua ya kumtambulisha kwa wazazi wangu lkn wazazi walimkataa katakata hasa mzee wangu nikaona isiwe tabu kugombana na wazazi kisa m/mke (hapo baada ya kuomba ushauri kwa watu tofauti hadi watu wa dini).

Maana ilifikia hatua wazazi wanasema watasusa na kutohudhuria shughuli yeyote baada ya kuona nilikomalia sana, kifupi nilikuwa nampenda kuliko maelezo na niliumia sana hasa huyu Binti ndio aliumia zaidi lkn now she is ok na mara chache huwa nawasiliana nae.

...ili iwe ndoa pande mbili lazima ziwe na makubaliano kwamba wewe unapeleka wazazi wako (jopo la ufundi kulingana na taratibu za mila zenu) linakwenda upande wa mwanamke na kuweka term and conditions then unachukua mchuchu wako unasepa nae mara baada ya kufikia makubaliano yaani mahari na utatoa yote au kidogo kidogo, kikubwa mkubaliane tu. Kama makubaliano hayakjafikiwa na wazazi wa pande mbili hata kama utamchukua na kukaa nae hiyo sio ndoa japokuwa waliokuzunguuka wanaona ni mke na mume (msingi wa kwanza wa ndoa ni makubaliano ya wazazi iwe kidini au kimila hata kama mtakuwa mnaishi pamoja endapo kutatokea tatizo makubaliano yaani mahari uliyolipa hata kama hujalipa itatumika kama reference katika kutatua mgogoro wenu)

Sijui Eiyer na Jodoki Kalimilo mna la kuongeza hapa?
 
Last edited by a moderator:
Ki vp labda mkuu?
Maana alikataa kuendelea ili nimuoe vile vile ye mwenyewe hataki kwenda huko ingekuwa labda anahitaji kwenda hapo sawa ningeweza labda kukuelewa!!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Dogo hebu skiza.....

Mahari ushatoa, right?
Ilifuata na kutimiza matakwa na masharti ya ukweni, sawa?
Imepokelewa kwa taratibu zote, si ndio?

Na hapo bado hujajua kuwa huyo ni mkeo???? Hapo kilichobakia si ni ndoa kwa maana ya taratibu za kidini? Au?? Taratibu za kimila si ushaoa???

Ok, sasa hebu nambie, ukishaoa, mkeo anakusikiliza wewe au baba yake na nduguze??

Ukishajua hayo..... na mkeo kama anakuheshimu kama mwanaume wako, atakusikiliza wewe. Ushanielewa?

Laiti ingekuwa mimi...... Hakuna safari ambayo ingefanyika bila kibali changu. Period.

Ushauri mdogo: Kama unaburuzwa namna hii katika kipindi hiki cha mwanzo kabisa cha mahaba..... mkijazoeana, sio kwamba tu atakuomba ruhusa ya kwenda kwa shoga yake, bali atakutaarifu kuwa atalala kwa shoga yake kwa siku tatu..... na hutakuwa na jinsi zaidi ya kukubali.

Huu sio mfumo dume, Kaizer hommie, nimekuwa mnoko sana au huu ushauri umetoka kwa Bwana??

Mkwe Fixed Point, hatutamfanyia unaa kijana wako wallah, kuwa na amani....

CC: Fidel80, RR , Baba V, kiwatengu, Dark City, Kwa Taarifa.
 
Last edited by a moderator:
akomalie asiende wapi,wakati hana chake analazimisha kuvaa size 41 wakati mguu wake mdogo,kikombe hicho unalazimisha kukinywa utajutia for the rest of your life.Ninavyokuona unahisi watu wanakuonea wivu kumbe wanakusaidia watanzania gani wasiojua unuhimu wa maandalizi ya harusi ndugu yangu,kusoma hujui na hata picha nayo chanel zimegoma kukamata japo uone kamtonyo kamoja tu.
 
...suala la kwamba bado yupo chini ya himaya ya wazazi wake halipo maana umeshalipa posa na mahari..kimila ni mke wako in a way na una say juu yake ndio maana hawezi kupokea mahari nyingine, hawezi kumingle na mwanaume yeyote hovyo hovyo na mengine mengi

Ankali unasemaje kuhusiana na hili? Let's assume kuwa mleta mada ni Muislamu.

SWALI:

Wakati mwanamke nishamposa na nimeshamtolea mahari nina haki yoyote ile ya kumwambia kitu mfano asitoke kila wakati na je yeye ana haki yoyote ile kwa kumwambia mchumba wake kitu chochote kile? - Ni haki kumchezea mkeo mwili wake wote? Natumai nitapata jibu zuri.

JIBU:

Shukrani zetu za dhati kwa swali lako kuhusu kumdhibiti mke baada ya kumtolea mahari. Mambo ya kijamii na hasa ya ndoa ni nyeti sana kwa kiasi ambacho Uislamu umeyapatia kipaumbele kusije kukatokea mushkeli ambao hautarajiwi.
Unapomposa msichana na pengine kutoa mahari kwa sababu ya kukubaliwa posa yako bado huwa kisheria hajawa mke wako hivyo huna udhibiti. Bado mwanamke huyo yuko katika udhibiti na amri ya wazazi wake.

Jambo ambalo unaweza kufanya ni kuweza kukubaliana wakati wa posa pamoja na wazazi wake kuhusu hilo na yeye mwenyewe kuridhia. Ile haki ambayo umepatiwa ni kuweza kumtembelea na kukutana na mkeo mtarajiwa nyumbani kwao sio katika faragha bali akiwa na aliye maharimu wake.

Yote haya ni kuweza kudhibiti watu hao wawili wasiwe ni wenye kuingia katika maasiya. Kutoa mahari si dhamana kuwa utamuoa bali zipo ndoa nyingi zilizovunjika kwa sababu moja au nyingine. Katika muda huo, ima mwanamke au mwanamme anaweza kuivunja hiyo ndoa kisheria bila ya wasiwasi wowote.

Ama kuhusu mkeo ni ruhusa kabisa kuchezea naye mwili wake wote kama alivyo yeye mwenye ruhusa kuuchezea mwili wako wako. Kitu kinacho katazwa ni kufanya mapenzi kupitia sehemu ya nyuma (liwati).

Chanzo: Akishatoa Mahari Anayo Haki Kumuamrisha Au Kumkataza Jambo Kwa Aliyemchumbia? | Alhidaaya.com

kopi kwa Kongosho, Asprin na snowhite kwa taarifa.
 
Dogo hebu skiza.....

Mahari ushatoa, right?
Ilifuata na kutimiza matakwa na masharti ya ukweni, sawa?
Imepokelewa kwa taratibu zote, si ndio?

Na hapo bado hujajua kuwa huyo ni mkeo???? Hapo kilichobakia si ni ndoa kwa maana ya taratibu za kidini? Au?? Taratibu za kimila si ushaoa???

Ok, sasa hebu nambie, ukishaoa, mkeo anakusikiliza wewe au baba yake na nduguze??

Ukishajua hayo..... na mkeo kama anakuheshimu kama mwanaume wako, atakusikiliza wewe. Ushanielewa?

Laiti ingekuwa mimi...... Hakuna safari ambayo ingefanyika bila kibali changu. Period.

Ushauri mdogo: Kama unaburuzwa namna hii katika kipindi hiki cha mwanzo kabisa cha mahaba..... mkijazoeana, sio kwamba tu atakuomba ruhusa ya kwenda kwa shoga yake, bali atakutaarifu kuwa atalala kwa shoga yake kwa siku tatu..... na hutakuwa na jinsi zaidi ya kukubali.

Huu sio mfumo dume, Kaizer hommie, nimekuwa mnoko sana au huu ushauri umetoka kwa Bwana??

Mkwe Fixed Point, hatutamfanyia unaa kijana wako wallah, kuwa na amani....

CC: Fidel80, RR , Baba V, kiwatengu, Dark City, Kwa Taarifa.

mweleze huyu babu,king'amuzi chake kina mchele mchele hapati connection ya matukio....poor him
 
Babu Asprin nashkuru kwa ushauri wako,,,nimefuata procedure zote kama zinavyotakiwa bado ndoa tu.
Bado hajawa Mke wangu ki halali maana sijakabidhiwa rasmi na mzee wake kama mahari inaweza kurudishwa vile vile.
Ananisikiliza mnoo ndio maana alikataa kusoma hapo mwanzo akitaka nimuoe na vile vile hii safari sio kwamba anaitaka. Labda anachohofia ni wazazi wake kwasababu bado yupo kwao so, hana Maamuzi kwasasa.
Kuhusu hilo la kuja kunipangia baadae na kunipeleka halitowezekana kwakweli ila kwasasa sina jinsi wazazi wake wameshika makali japokuwa nimeshatoa msimamo wangu kwakwe nasubiria kesho ndio nijue kama Mbwai iwe Mbwai

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Last edited by a moderator:
mweleze huyu babu,king'amuzi chake kina mchele mchele hapati connection ya matukio....poor him

Ahsante pia mkuu kwa ushauri wako.

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
akomalie asiende wapi,wakati hana chake analazimisha kuvaa size 41 wakati mguu wake mdogo,kikombe hicho unalazimisha kukinywa utajutia for the rest of your life.Ninavyokuona unahisi watu wanakuonea wivu kumbe wanakusaidia watanzania gani wasiojua unuhimu wa maandalizi ya harusi ndugu yangu,kusoma hujui na hata picha nayo chanel zimegoma kukamata japo uone kamtonyo kamoja tu.

Absolutely true..kweli mtu anaolewa asiwe ht na mshipa wa kuwaza? Kwanza wengine hawalali..na kuota wataota..ni kitu cha siku moja na chenye thamani..and people are not serious..CAVEATE EMPTOR😱😱
 
Ahsante pia mkuu kwa ushauri wako.

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

ungekuwa kaka yangu ningepata wasiwasi na hiyo familia utakayoiendesha,maana itakushinda kama sio kukuua kwa presha
 
mweleze huyu babu,king'amuzi chake kina mchele mchele hapati connection ya matukio....poor him
Asnam mpenzi, kwanza unajua kuwa nakupenda na nimekumisi sana?

Ulikuwa wapi siku zote?

Nafurahi kwa kuwa umenielewa. Ukishamleta mwanaume kwenu, akalipishwa mlichokihitaji, nawe ukamtambua na kumkubali mbele ya wazazi/wawakilishi wa pande zote mbili..... hivi kikwenu huyo sio mmeo????
 
Last edited by a moderator:
Absolutely true..kweli mtu anaolewa asiwe ht na mshipa wa kuwaza? Kwanza wengine hawalali..na kuota wataota..ni kitu cha siku moja na chenye thamani..and people are not serious..CAVEATE EMPTOR😱😱

let buyer beware.....full stop
 
Babu Asprin nashkuru kwa ushauri wako,,,nimefuata procedure zote kama zinavyotakiwa bado ndoa tu.
Bado hajawa Mke wangu ki halali maana sijakabidhiwa rasmi na mzee wake kama mahari inaweza kurudishwa vile vile.
Ananisikiliza mnoo ndio maana alikataa kusoma hapo mwanzo akitaka nimuoe na vile vile hii safari sio kwamba anaitaka. Labda anachohofia ni wazazi wake kwasababu bado yupo kwao so, hana Maamuzi kwasasa.
Kuhusu hilo la kuja kunipangia baadae na kunipeleka halitowezekana kwakweli ila kwasasa sina jinsi wazazi wake wameshika makali japokuwa nimeshatoa msimamo wangu kwakwe nasubiria kesho ndio nijue kama Mbwai iwe Mbwai

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Tell me hapo kwa red...... kweli baada ya kutoa mahari hukukabidhiwa mke???? Kabila gani hilo???? Mi nna uzoefu na haya mambo kwenye makabila mengi. Wakishapokea mahari unakabidhiwa mke. Kinachotokea ni muoaji kuwaomba wakwe waendelee kukaa na binti kwa kuwa kuna taratibu nyingine za kidini zinategemea kufuatwa..... Tena tarehe ya harusi hupangwa hapohapo......

Labda mi ni mzee wa miaka ya kizamani..... I stand to be corrected.
 
Asnam mpenzi, kwanza unajua kuwa nakupenda na nimekumisi sana?

Ulikuwa wapi siku zote?

Nafurahi kwa kuwa umenielewa. Ukishamleta mwanaume kwenu, akalipishwa mlichokihitaji, nawe ukamtambua na kumkubali mbele ya wazazi/wawakilishi wa pande zote mbili..... hivi kikwenu huyo sio mmeo????

babu nimekumisi pia,kanetiweki kalikuwa kanasumbua,na kasimu haka katochi hakaeleweki+ kilimo kwanza usipime.

huyu kijana inainyesha wazi wanamuwekea taa nyekundu lakini anajitia upofu,huu ndio wakati wa familia kukaa kujadili mipango for the sake of their children teh teh vice versa prevails hahahaha anaenda kumnyonyesha mtoto wa dada yake,wakati wa ujauzito alisaidiwa na nani?

Babuuuu wajukuu wako hukuwapeleka jando
 
Last edited by a moderator:
Tell me hapo kwa red...... kweli baada ya kutoa mahari hukukabidhiwa mke???? Kabila gani hilo???? Mi nna uzoefu na haya mambo kwenye makabila mengi. Wakishapokea mahari unakabidhiwa mke. Kinachotokea ni muoaji kuwaomba wakwe waendelee kukaa na binti kwa kuwa kuna taratibu nyingine za kidini zinategemea kufuatwa..... Tena tarehe ya harusi hupangwa hapohapo......

Labda mi ni mzee wa miaka ya kizamani..... I stand to be corrected.

huyu ni mhindi mila za kiswahili zinamtatiza bado hahahaha
 
Ankali unasemaje kuhusiana na hili? Let's assume kuwa mleta mada ni muislam

Chanzo: Akishatoa Mahari Anayo Haki Kumuamrisha Au Kumkataza Jambo Kwa Aliyemchumbia? | Alhidaaya.com

kopi kwa Kongosho, Asprin na snowhite kwa taarifa.
Mwanasheria wangu na msomi EMT , ukiondoa hizi dini zilizoletwa na meli/ndege. Kiafrika zaidi, mtu akishatoa mahari na kukubalika, mwali anakuwa hajaolewa?

Kama mleta mada ametumbukiza hoja yake kwenye dini..... hizi dini zinakubalije mahari?? Ni ahsante kwa mzazi au mhuri wa ndoa??
 
Last edited by a moderator:
babu nimekumisi pia,kanetiweki kalikuwa kanasumbua,na kasimu haka katochi hakaeleweki+ kilimo kwanza usipime.

huyu kijana inainyesha wazi wanamuwekea taa nyekundu lakini anajitia upofu,huu ndio wakati wa familia kukaa kujadili mipango for the sake of their children teh teh vice versa prevails hahahaha anaenda kumnyonyesha mtoto wa dada yake,wakati wa ujauzito alisaidiwa na nani?

Babuuuu wajukuu wako hukuwapeleka jando

Red: Huo ndio ukweli halisi..... bila kutafuna maneno. Bahati mbaya sana huyu bwana harusi asiyetakiwa hajaelewa hili fumbo jepesi sana.

Blue: Ntawapelekaje jando wakati weye nliekutegemea unipe sapoti na juche uliingia mitini namna hii? I hate missing you ujue. Usirudie tena tafazali.
 
ungekuwa kaka yangu ningepata wasiwasi na hiyo familia utakayoiendesha,maana itakushinda kama sio kukuua kwa presha

Lakini dada yangu umesoma tokea mwanzo Uzi huu?
Kikubwa Binti bado yupo kwao bado hajaja nyumbani kwangu.
Na kuhusu msimamo wangu nimeshamwambia siitaki hiyo safari na yeye akiwa mmoja wapo anaafikiana na mimi.

Sasa wasiwasi wako unakuja vipi nikamchukue kwa nguvu kisa tu nimeshatoa mahari au ki vpi?

Back
Top Bottom