Dah, pole sana..hahaaaa maneno yako hayo daah mie hoi huku
I wish nilienae aniambie hata hayo maneno lakini yeye walaaaaaaa
etiwanadai kwao maumivu ni makubwa mno kuliko wanawake!
kaapa hawez nisamehe.kanirekod mazungumzo yote.hata cjielew ndugu zangun.msaada jaman
Dah, pole sana..
Una kitu kimoja ambacho hua kukipata kwa mabinti hasa bongo ni ngumu sana, kwa mtu ambaye atakua amekiona hicho kama bac maneno haya si kukwambia, bali ni kuyatimiza...
Men have a disease called ego. Na kuna wengine who have a bigger share than others.
kaapa hawez nisamehe.kanirekod mazungumzo yote.hata cjielew ndugu zangun.msaada jaman
halafu why is it harder for men to FORGIVE!!!!!!!!
Mie sielewagi hata lakin sisi wanawake tuna vihere here vya kusamehe hao.......
Kama alikuwa anakupenda atarudi tu. We tulia kama vile huna shida nae. Ukijiliza liza na kumpigia pigia simu ndo atakuona ----.
kaapa hawez nisamehe.kanirekod mazungumzo yote.hata cjielew ndugu zangun.msaada jaman
kuonana tu ndugu hakuna kingine
Umeonaeee,muda mwingine yapaswa kumpa mtu nafasi ya kutafakari na kuelewa umuhimu wako katika maisha,
huwa tunaumia sana aisee ukihis umechapiwa, unakata tamaa kabisa. mwili unatetemeka. nakumbuka ilinitokea nlipata hasira sana, asb nilirudisha bastola na ndo ukawa mwisho wa kuipenda ile kitu coz nliona ndo wakat muafaka wa kuitumia but baadae nkapoa nkaona no need.
Mie sasa hivi nataka niende kwa fundi vyuma aniwekee moyo wa chuma hakuna huruma wala msamaha.
Madada wa siku hizi huwa mnakera sana,kwa kuingia katika mahusiano pasipo kutambua thamani ya mahusiano hayo.
Mapenzi yanapaswa kulindwa kama mboni ya jicho kujengewa uaminifu.
Umefanya makosa makubwa kwa uzembe wako wa kutofikiri:
1.Kama ulikwishaifahamu dhamira ya huyo jamaa anayekupigia simu,ni kwanini unapokea call zake?
~It seems bado unafanya selection ya wapenzi.
2.Pia,kilichokusukuma uende ni kipi?Endapo umeshajua anachokuitia.
~Je ukibakwa huko?
~Je mpenzi wako akikuona atakuelewaje?
3.Umeshapata akupendae,ni kipi kinachokufanya uendelee kusumbuka na wengne?
~Yaelekea hujaridhka na uliyenae na wewe ni msiri sana kwa mpenzi wako.
Ulitakiwa utafakari haya kwanza kabla ya kufanya uliyoyafanya.
WANAUME WENZANGU,WADADA WA SIKU HIZI wengi wao ni walaghai,tutoapo pesa ama tuingiapo gharama kwa ajili yao,tufanye tu kama tunatoa sadaka.
Na siwaelewi hawa viumbe wanatafuta nini katika mapenzi.
Sa uzuri uko wapi na umesema jamaa ana rekodi ya mazungumzo yenu?
umuhimu wa kwenda kusikiliza shida za watu.