Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Na ukijumlisha kuwa mwalimu wenu kipofu ndo kwisha kabisaaaaa
na nyie mwalimu wenu ni nani!!!!!!!!!!!
Na ukijumlisha kuwa mwalimu wenu kipofu ndo kwisha kabisaaaaa
MIMI ni mdada ambaye nimepata matatizo,
nilikuwa nina mpenz wangu, kwa kweli alinipenda sana.Kila nikichohitaji amenisaidia.
Wik iliyopita kuna mkaka alikuwa ananisumbua sana kuonana na mimi nikaamua kukubali kuonana nae ili nimsikilize anachotaka kuniambia.
Bahati mbaya mchumba wangu kasikia kila kitu,kaniacha hataki kabisa kunisamehe na kila nimpigiapo simu hapokei na saa nyingine anakata.
Naomba msaada wenu wakuu nifanye mbinu gani anisamehe?
Hadi mama yangu kaniombea msamaha lakini mchumba wangu kakataa.
Nifanyeje? jaman nimechanganyikiwa.
Naomba msaada wa mawazo.
Nauliza ni dawa ipi nitakayompa mume wangu au chakula kipi nimpe ili apate nyege za haraka.awe fit kitandani
it may be all men but not me.halafu why is it harder for men to FORGIVE!!!!!!!!.......
tatizo wanawake wakishaamua hawasikilizi mtu wala ushauri wowote mpaka watakapokuta mambo ndivyo sivyo ndio wanakuja kuomba msamaha na wakuwaga na jeuri sana wanapoamua kumwacha mwanaume na ndio mana wanaume wengi wanakuwa wagumu sana kusamehe pale wanapokumbuka jeuri na dharau walizofanyiwa alafu leo eti watoe msamaha kirahisi tu,inakuwa ngumu sana,japo mimi sina neno kabisaMie sielewagi hata lakin sisi wanawake tuna vihere here vya kusamehe hao.......
huhuhuu manyoya ujue kisu kilishavuja damu
wanawake tumepewa moyo wa huruma ambao ni mwepesi kusamehe na kuhadaika!
kaapa hawez nisamehe.kanirekod mazungumzo yote.hata cjielew ndugu zangun.msaada jaman
Ukiona anaendelea kunata we mpotezee,huenda alikuwa anatafuta sababu ya kukuacha,hawa wanaume sio wa kuwapa moyo wako asilimia 100%
Mpe 1%,wewe baki na 99%,that will be much safer for you.
Hata kama alitongozwa huko fursa ziko wazi... kajipa chance ya kwenda kusikiliza kama huko kwingine panalipa zaidi au la. Pengine baada ya kusikiliza mapigo mapya akaona hamna kitu bora mkaka yule wa mwanzo. Fair game tu afterall maana sio mke na mume hao, bado kila mmoja ana nafasi ya ku keep looking. Una uhakika gani huyo mwanaume hana demu mwingine. Jamaa amsamehe mbona sie wanawake tunasamehe sana. Dada omba msamaha wa dhati halafu give him time to think and decide. If u were that worth it to him atakusamehe. Otherwise it was neve meant to be usikonde ndo ukubwa!
Upuuzi kabisa kumpa binadamu mwenzako 100% ya moyo wako.....
Ukitemwa unaanza kulalama, kwanza mimi naona the guy has insecurity issues. Labda kama bibie anaficha kitu, labbda kama hayo mazungumzo yalikuwa na maana ya kumkubalia, labda kama aligegedwa, otherwise hiwezi ku overreact kisa watu wameongea, usimfunge mtu kuwa na maongezi na wengine, after all mwanamke kutongozwa sunna!!!!!
Nishakupa tano best...Nipe tano:thumbup:
coz mwanaume anaweza akacheat na still akawa anampenda aliemcheat ila mwanamke akicheat ujue mapenzi hamna yameisha hapo.