Jicho la Tai
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 1,452
- 609
mm ni mdada ambaye nimepata matatizo naomba msaada wa mawazo.nilikuwa na mpenz wangu kwakwel alinipenda sana.kila nikichohitaj amenisaidia.wik iliyopita kuna mkaka alikuwa ananisumbua sana kuonana na mm.nikaamua kukubal kuonana nae ili nimsikilize anachotaka kuniambia.bahati mbaya mchumba wangu kasikia kila kitu.kaniacha hatak kabisa kunisamehe kila nimpigiapo simu hapokei na saa nyingine anakata.naomba msaada wenu wakuu nifanye mbinu gan anisamehe?had mama yangu kaniombea msamaha lkn mchumba wangu kakataa.nifanyeje jaman nimechanganyikiwa
sema ukweli tukusaidie. nielezee vzuri km ilikuwa kuonana tu au kuna kingine kilikuwa kinahusika.