Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 14,563
- 22,839
Alienda kumpa papuchi huyo kwan kwa njia ya simu alishindwa kumsikiliza?ulienda msikiliza ??? sijaelewaa hapoo
Alienda kumpa papuchi huyo kwan kwa njia ya simu alishindwa kumsikiliza?ulienda msikiliza ??? sijaelewaa hapoo
Sijaelewa mchumba wako alisikia kila kitu inamaana na yeye alikua hiyo sehemu mliyokutana.
Funguka zaidi
MIMI ni mdada ambaye nimepata matatizo,
nilikuwa nina mpenz wangu, kwa kweli alinipenda sana.Kila nikichohitaji amenisaidia.
Wik iliyopita kuna mkaka alikuwa ananisumbua sana kuonana na mimi nikaamua kukubali kuonana nae ili nimsikilize anachotaka kuniambia.
Bahati mbaya mchumba wangu kasikia kila kitu,kaniacha hataki kabisa kunisamehe na kila nimpigiapo simu hapokei na saa nyingine anakata.
Naomba msaada wenu wakuu nifanye mbinu gani anisamehe?
Hadi mama yangu kaniombea msamaha lakini mchumba wangu kakataa.
Nifanyeje? jaman nimechanganyikiwa.
Naomba msaada wa mawazo.
halafu why is it harder for men to FORGIVE!!!!!!!!
Mie sielewagi hata lakin sisi wanawake tuna vihere here vya kusamehe hao.......
halafu why is it harder for men to FORGIVE!!!!!!!!
Mie sielewagi hata lakin sisi wanawake tuna vihere here vya kusamehe hao.......
Sisi wanawake bwana!! Huwaga tunakurupuka kufanya mambo bila kufikiria consequences then we start crying.
I wouldnt wanna be in her shoes.