King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,976
Eti mchumba hapokei simu nayo inaitwa 'tatizo'. kweli nafurahia uzee wangu. Huyo dawa yake mpigie tena yule kaka ukamsikilize 'zaidi'
hebu achana na mwenye kununa huko na minuno yake kama mwanamke wa kizaramo. Huyo kaka mliongea nini? I mean alikuwa anasemaje?
#teamudaku
hebu achana na mwenye kununa huko na minuno yake kama mwanamke wa kizaramo. Huyo kaka mliongea nini? I mean alikuwa anasemaje?
#teamudaku