hmm! ni niliambiwa wanawake huwa wanasamehe mdomoni ila moyoni wana vinyongo na kisasi. sijui kama kuna ukweli
Ubabe sometimes ndio unaotusumbua huenda hakuna lolote na wala hajapoteza imani na bibie ni mkwara tu.
Kwako wewe hata mikwara siwezi kufanya... Ukionyesha usincere kdg tu nshakubeba..hiyo mikwara yenu huwa inatuumiza sana wallah
Kwanza kabisa maelezo yako yana utata, kama unataka ushauri siriaz hebu angalia humo nilimobold na ujibu maswali yafuatayoMIMI ni mdada ambaye nimepata matatizo,
nilikuwa nina mpenz wangu, kwa kweli alinipenda sana.Kila nikichohitaji amenisaidia.
Wik iliyopita kuna mkaka alikuwa ananisumbua sana kuonana na mimi nikaamua kukubali kuonana nae ili nimsikilize anachotaka kuniambia.
Bahati mbaya mchumba wangu kasikia kila kitu,kaniacha hataki kabisa kunisamehe na kila nimpigiapo simu hapokei na saa nyingine anakata.
Naomba msaada wenu wakuu nifanye mbinu gani anisamehe?
Hadi mama yangu kaniombea msamaha lakini mchumba wangu kakataa.
Nifanyeje? jaman nimechanganyikiwa.
Naomba msaada wa mawazo.
hapo tu ndipo naposhindwaga waelewa dada zetu yan mtu anajua kabisa hadi lengo la jamaa et bado anaenda msikiliza o jamaa anaongea kwa alama za vidole hvyo ndo ungeweza muelwa anachohitaji embu amken huko usingizi mlikolala jaman mnajidhalilisha alafu utakuta mtu na elimu yake kbsa huyuuu mama next anza kuomba ushaur kabla hujagegedwaaa
bahat nzuri ckwenda simu yangu iliisha chaji nikarud nyumban
kaapa hawez nisamehe.kanirekod mazungumzo yote.hata cjielew ndugu zangun.msaada jaman
bahat nzuri ckwenda simu yangu iliisha chaji nikarud nyumban
Umeona eeeh? Mliongea nini? Mlifanya nini? Manake haitoshi tu kumsikiliza.
wanawake tumepewa moyo wa huruma ambao ni mwepesi kusamehe na kuhadaika!
Sijui kwanini, maana hata mimi mpenzi akiniletea habari hazieleweki napiga chini. Mabinti vigeugeu sana we ushaamua this is the one lakini ye bado hasomeki.
Mtoa mada hujatueleza kwmba jamaa alisikia kitu gani ili tutoe ushauri unaoendana na hali halisi.
Kwako wewe hata mikwara siwezi kufanya... Ukionyesha usincere kdg tu nshakubeba..
Mtu ka wewe hutakiwi uguse chembe ya sadness, ukiwa bored kdg tunakimbia hata Machu Picchu kupunga upepo.
Ukitaka adrenaline stimulant hata skydiving tutafanya tu
Usimhukumu dada,kwani ukishakuwa kwenye mahusiano na mtu mlokutana kimjini mjini huruhusiwi kuwa na mawasiliano na jinsia ya kiume??
We unawaza tu kugegedwa,Men you have to change banaa,usimnyime mwenzi wako uhuru kiasi hicho.
You dont love someone because he/she is perfect, u love them inspite of the fact they are not, i believe you boyfriend ana insecurity issues so mpe muda, if he truly loves u atakusamehe!
Ila hapo inaonyesha huyo mjamaa nia yake ilikuwa hiyo na yeye kwenda haikuwa na umuhimu kabisaaaaaaaaaa