Nimechanganyikiwa mwezenu

Nimechanganyikiwa mwezenu

kaapa hawez nisamehe.kanirekod mazungumzo yote.hata cjielew ndugu zangun.msaada jaman

Uwe wazi bwana, mazungumzo gani mliyo ongea mpaka yaingilie uhusiano wenu, ulipapaswa siku hiyo, mliongelea public au faragha?
 
kaapa hawez nisamehe.kanirekod mazungumzo yote.hata cjielew ndugu zangun.msaada jaman

Kuna kitu unafcha dada,,, mana mpk karecod mazungumzo ujue kuna ktu umefanya apo hutak too kusema,,,,na kuhsu kukusamehe jamaa anaumia na meng include gharama anazokugharamia ww af ajue kuna mwngne anakula tunda too kiboyaa...ujue inauma sana
 
halafu why is it harder for men to FORGIVE!!!!!!!!

Mie sielewagi hata lakin sisi wanawake tuna vihere here vya kusamehe hao.......

Sijui kwanini, maana hata mimi mpenzi akiniletea habari hazieleweki napiga chini. Mabinti vigeugeu sana we ushaamua this is the one lakini ye bado hasomeki.

Mtoa mada hujatueleza kwmba jamaa alisikia kitu gani ili tutoe ushauri unaoendana na hali halisi.
 
kuonana tu ndugu hakuna kingine

Kuonana na ndugu ndo upigwe chini halafu mbona mwanzo kwenye thread hujasema ni ndugu umesema kuna mkaka alikuwa anakusumbua na sio binamu, mjomba au kaka yangu?, hii story inaleta walakini.
 
Sasa mdada, huyo jamaa wako anastrong reason ya kukuchukia hivyo kwa sababu labda anajua ulilala na huyo mwanaume. Hapo unaonekana ulivyo mrahisi...ndoa hufai😡.
Au anahisi ulilala nae koz ulizima simu (kumbe charge iliisha)😤
Mi nahisi ulilala na jamaa na mpezi wako alijua au alikufuatilia.
Pole, ila hata mimi ningefanya hivyo tu.

Sent from Samsung Note III using Tapatalk
 
Huyu dada wala hajachanganyikiwa....angekuwa kachanganyikiwa asingeweza kuandika kitu sensitive tena kwa kuficha uhalisia na had sasa hajaweka wazi . Inamaana had sasa haon maswali aliyoulizwa kweli? ?
 
kaapa hawez nisamehe.kanirekod mazungumzo yote.hata cjielew ndugu zangun.msaada jaman
hivi we mdada hujui kujieleza? karecord mazungumzo yote kwa njia gani! elezea vizuri watu tuweze kukushauri!
 
hilo dili lilichezwa, pole, jikaze usone mbele
 
kaapa hawez nisamehe.kanirekod mazungumzo yote.hata cjielew ndugu zangun.msaada jaman

nimeapa kwa miungu ya kingoni! Kuwa sikusamehi ng'oo hadi useme ulienda kumsikiliza nini wakati ungeweza kuongea naye kwa simu.
 
Ulikua unafikiria nin wakati anaenda coz possibility ya kuwa bf wako atajua kua umetoka lazima iwepo kichwan kama sio kilaza.
Unapofanya kitu fikiria al possible consequences then unapima risk to benefit ratio.
Kuhusu hapo ulipo mpe muda ila kama ni mtu wa visas anza tu maisha yako coz hutoenjoy tena.
Upande wangu ningekua mimi nisingekukubal tena
 
Pole sana......calm down mamie hayo mazungumzo aloyarecord mlikua mnazungumzia nn haswa?inaonekana kakutongoza na ukamkubali ndio maana kaapa kutokusamehe.......pole ndio ushampoteza huyo kubaliana na matokeo

hawek waz
 
kuonana tu ndugu hakuna kingine
Wewe kama unaomba msaada usiletete story zako short short hapa...unatupotezea muda!! Kuongea tu kwa simu hawezi boy wako kuwa mkali hivyo asikusamehe!! Waaonekana we ni damper...ushagongwa pengine...otherwise ongea ukweli wako sio sentensi fupifupi halafu si tukupe ushauri. Senzzzzy sana hii!!
 
Kuonana na ndugu ndo upigwe chini halafu mbona mwanzo kwenye thread hujasema ni ndugu umesema kuna mkaka alikuwa anakusumbua na sio binamu, mjomba au kaka yangu?, hii story inaleta walakini.
Mkuu mbona unakurupuka na povu...hembu msome vizuri....!!
 
Wewe sema umegegedwa ukafumwa ndo maana hataki kukusamehe nyie watoto wa siku hizi hamriziki hata mpewe nini jamani, huyo ulimfata wa nni kama ulijua unae bwana upendae? Na je Uliwahi mwambia bwana yako kuhusu huyo jamaa anavyo kusumbua? Hata kama ninge kuwa mimi siwezi samehe upuuzi kama huo!
 
kaapa hawez nisamehe.kanirekod mazungumzo yote.hata cjielew ndugu zangun.msaada jaman

kakurekodije my dear,au mlikuwa wote hapo mahali na mchumbawako.sikuelewi kwamba huyu mchumba ako kajuaje?.??
 
Wewe sema umegegedwa ukafumwa ndo maana hataki kukusamehe nyie watoto wa siku hizi hamriziki hata mpewe nini jamani, huyo ulimfata wa nni kama ulijua unae bwana upendae? Na je Uliwahi mwambia bwana yako kuhusu huyo jamaa anavyo kusumbua? Hata kama ninge kuwa mimi siwezi samehe upuuzi kama huo!

kweli hata mie naona lazima kagegendwa huyu.othrws atuweke wazi amefanya nini??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom