Nimebaini mke wangu ana laini mpya

Nimebaini mke wangu ana laini mpya

Don't be so asured. Jf is like a secret society membership. Kwa maelezo tu yaonekana mkeo ni mjanja.

Pale alipokuwa 'cornered' na kuanza kumpa leading questions huyo shamba boy wako ni ishara kuwa yuko smart upstairs, so usishangae kutumia hata jf.

pia the moment ulipomuacha na kuendelea na shughuli zako, ni kosa kubwa ulilofanya, umempa nafasi ya kuharibu ushahidi.

Mtu mzima si lazima akili, kwa mwenye akili timamu ameshapata concern yako.
Kitendo cha kukubali kuondoka nyumbani na kumuacha na shamba boi julisha kubaki na simu yake alikuwa ameharibu ushahidi kwa 60%.

Pale ulipaswa umshushie kipigo cha mbwa mwizi mpaka aseme ukweli kisha unamfungia chumbani unaondoka na shambaboi ,line na simu yake .
 
a



Yaani kuchiti kote anakofanya Bwana Pond ila bado ana haki ya kutomsamehe mkewe akikutwa na hatia ya kuchiti?

Hakika hii ni dunia ya kiume.
Hongereni kina baba.
Chumguzeni uumbaji wa mungu kila mnyama dume moja ni kwa wake wengi
 
Baada ya kukata Simu,machale yakanicheza sana. Nkaamua Kwenda nyumbani MDA huo huo, nmefk namkuta wife sebleni kashika Simu akitizama tv na shemej yangu (mdg wake wa kike).

Nmemuita chumbani kaja, nmemkalisha chini nikamwamvia anikabidhi Simu yake,Kisha nkamwambia "nataka kujua khs hii laini ngeni ulonipigia leo". Akasema "sio laini yangu, Ni laini ya kijana wetu wa ng'ombe, aliazima Simu yangu kubwa mara Moja ili awapigie videocall ndugu zake,ndo kasahau kuitoa"

Nkamwambia "kwaiyo iko wapi Hii laini" akasema "nishaitoa iko kwny kava la Simu, funua utaiona" nmefunua kweli nmeikuta. Ikabd kuiweka kwenye kisimu changu Cha tochi kuikagua.

Katk kuikagua, nikakuta haina sms yyt,ila Ina majina 9 yote yameseviwa majina ya ndugu na shoga zake wife. Nkahisi huyu ananidanganya, haiwezekani laini iwe ya kijana wa ng'ombe, afu phone book iwe na majina ya ndugu zake na shoga zake wife nnaowajua mimi. Ikabd kumfata kijana nmuulize.

Tanzania ni mtandao gani wa simu unaowezesha kutumia video call .. Kwa kutumia namba husika ya simu tofauti na apps za WhatsApp etc..?
😁😁😁
 
Punde nae wife kafika chumbani kapanic,analalamika Inamaana simuamini yeye MKE wa ndoa, namwamini kijana wa ng'ombe?

Nikamwambia "sio kwamba sikwamini, unachonambia hakiingii akilini. Kuanzia namna ulvonipigia Simu, Hadi kudai laini Ni ya kijana. Yaani laini ya kijana wa ng'ombe ikaseviwe majina ya ndugu zako na shoga zako, afu uyo uyo kijana asitambue hata jina Moja kwenye laini inayodaiwa Ni ya kwake. Hapa Kuna kitu kinafichwa."

Akasema,
"Hayo majina sijayakana,Ni yangu, Simu yangu ilkua mtu akipiga haileti majina kwenye kioo, ndo nikaamua kua nayasevu kila wakipiga" nkamuuliza "umeanza kuyasevu lini hayo majina?" Akasema "leo leo wote walkua wakinipigia Simu haileti majina".

Nkarejea kwenye Simu yake kubwa na kuangalia kwenye call records kuangalia majina yote 9 kwenye ile laini ya 900 Kama kweli namba zile 9 zote zilipiga. Nkakuta tangu mwezi wa 10 hamna hata Moja ilopiga,missedcall Wala kupokelewa kupitia Simu kubwa. Nkajua uyu mwanamke ananidanganya.

Nkamwambia wazi wazi
"wee mwanamke Ni mwongo, afu ujui unamdanganya mtu namna gani, humu kwny Simu yako hamna call yyt inayohusiana na hzo namba ulizosevu humu, vinginevyo useme uwa unatumia simu tofauti kuzipigia hizo namba zako. Na nataka niione hiyo Simu Sasa hivi" Akasema Hana Simu tofauti na hiyo.

Basi nikaona ananipotezea MDA,
Nmeondoka pale na kurud kuendelea na shughuli zangu. Lakini kichwan najua Kuna kitu hakiko sawa khs MKE wangu.

Hatua nilizochukua mpk sasa,
1. Nmeanza rasmi kuzifanyia uchunguzi namba Moja baada ya nyingine zilizoseviwa kwny Hii laini.

2. Nmeangalia usajili wa laini, namba imesajiliwa jina la kiume la kiislamu, nataka nianze kumfatilia kumjua mtu huyu Ni Nani.

3. Nmemuuliza mdg wake wa kike wife khs hizo laini (baadae asije geuza kibao Akasema laini za mdg wake), keshanambia haitambui laini Kama hiyo.

4. Kiukweli iman kwa MKE wangu imepungua mno, na kwa hili ntaanza kumchunguza kimya kimya Bila kupanic.

MWENYE MAWAZO,USHAURI AU MAONI TOFAUTI NAwaKARIBISHENI.

Nawasilisha
watu wengi kwenye ndoa mmeoa malaya
 
Acha nifurahi tu ilikuwa too much mama jay this mama jay that bwanah we ukijua huu wenzio wanajua ule kuwa mpole dawa ikuingie uone inavyoumaga
Nyieee mkute mama G ndo mie hivooo....
Mnipe maua yangu mapema🤣🤣🤣

DeepPond bado hujasema, mpaka useme.
 
Wife anachomoa goal dakika za jioooooooniiiiii na kufanya ubao kuwa 1-1, 😂 mtanange unaendelea hapa
Wife anapata the best goal of the league, shuti kutoka katikati ya uwanja linamuacha kipa akiwa katoa macho, haamini anachokiona🤣🤣🤣🤣
 
sasa broo kama unampenda usimchunguze mtangazie msamaha mapema maisha yaendelee ila kama unatafuta sababu ya kuachana nae endelea kufukunyua najua utakayokutana nayo, unaweza ukajuta kwann ulianza hizo fukunyuku.....we mwambie( nishashtukia mchezo wako kwahiyo utaamua kwa akili yako mwenyew kuendelea au kuacha) maneno machache afu keep busy na mambo yako....
 
Ungeangalia umeseviwaje, afu andika herufi mbili za mwanzo za hilo jina uliloseviwa utakuta namba ambayo ilitaka kupigiwa......


Ukute wote mmeseviwa Daddy


Hivi ulisema amekupigia kwenye simu yako ya Siri? Alikuwa anaijua hiyo simu yako ya siri?
 
Wakuu

Leo nikiwa bize sana dukani, nakuja kustuka Simu yangu ya private ina missedcall namba ngeni ya tigo inaishia na 900, ikabidi kuipigia haraka.

Simu imepokelewa, sauti ni ya wife, namuuliza vipi naona ulinipigia, Akasema sijakupigia. Nikamuuliza namba ya Nani Hii, mbona unatumia namba ngeni?. Akasema " sio namba ngeni, ni laini yangu ya Siku zote". Nikamwambia "sawa, nenda Kwenye point, ulikua unasemaje"

Akasema " Nlkupigia, nilitaka kukuuliza nikuhesabu chakula, utakuja kula?" Nikamuuliza "Ni lini nmewai kuja kula chakula Cha mchana nyumbani. Kwangu? Au umekosea namba?"

Akasema "nakoseaje namba yako mme wangu, kwani Kuna ubaya gani kukuuliza?" Nikamwambia "hamna ubaya, tatzo Hii namba ngeni ulonipigia, pia mazunguzo unayoleta Ni Kama hayanihusu Mimi" akahamaki.

Nikaongezea "Unanikaribishaje chakula Cha mchana na unajua kbs sijawahi kurudi mchana kula Lunch nyumbani?" Akasema "Basi yaishe, naona umekasirika mme wangu". Nikamwambia "sawa" Kisha nkakata Simu.
Nkeo kabila gani? Na anafanya kazi gani?
 
Hahahaha


Wewe si Huwa unajifanya mwalimu wa kuchapa kuchakata wanawake


Naanza kuamini hakuna anaemjua mwanamke vizuri!!!


Bro usimfuatilie mwanamke we timiza wajibu wako Kisha sepa!


Pole sana Kwa kuchapiwa.


Kila ukitafakari mke wako anavyoirudishia Mashine inapochomoka akiwa anapigwa Mashine na majamaa lazima akili ikuruke
 
Hapaswi kukaa na mwanamke kiboya eti kisa unamuamini. Kumchunguza haimaanishi kwamba unataka kumkamata uhuni wake. Ila muda mwingine unaweza jua mke wako anachangamoto gani ambazo ukizijua unaweza msaidia bila yeye kujua na ukadumisha mahusiano yenu.

Mimi wangu namjua mpaka basi, hadi anaenjoy kuwa na mimi.

Hawa viumbe muda mwingine wana changamoto ambazo hawa wezi kukwambia directly, wao wanataka uzijue bila kuambiwa. Na unakuta hizo changamoto zake yuko confortable kumuelezea rafiki au jamaa yake ila siyo wewe.

Mwanamke anataka mwanamme anaye njulia. Mfano anataka kuchepuka wewe uka intervine bila yeye kujua, atakuheshumu balaa na hatarudia tena.

Kwani kazi ya intelijensia kama CIA, MOSSAD, M16, KGB, TISS ni nini wakati kuna majeshi?
Endelea kujidanganya tu eti unamjua mke wako.


Hakuna mtu anaemjua binadamu Kwa kiasi Hicho


Nyie ndio mkisikia mmechapiwa Huwa mnakuja kuua au kujiua!


Cha msingi usitake kumjua sana mtu , wewe hakikisha ile misingi ya nyie kuwa pamoja inazingatiwa ila achana na kutaka kumjua mtu sana
 
Send a thief to catch a thief.

Huwezi kumcontrol mwanadamu 100%, binadamu ni kiumbe dhaifu.

Ukiendelea kupambana na mwanamke muda si mrefu utaanza kuhudhuria Jakaya Kikwete Cardiac Institute kwa Dr Janabi wakati mwanamke atasajili laini nyingine
 
Wife anapata the best goal of the league, shuti kutoka katikati ya uwanja linamuacha kipa akiwa katoa macho, haamini anachokiona
Unafurahi unadhani mazuri Ayo?
 
Ungeangalia umeseviwaje, afu andika herufi mbili za mwanzo za hilo jina uliloseviwa utakuta namba ambayo ilitaka kupigiwa......


Ukute wote mmeseviwa Daddy


Hivi ulisema amekupigia kwenye simu yako ya Siri? Alikuwa anaijua hiyo simu yako ya siri?
Simu private, maana ake Simu binafsi nnayoitumia Kwny Mambo yanyu binafsi ya family na marafiki. Sio Simu ya siri
 
Back
Top Bottom