Nimebaini mke wangu ana laini mpya

Nimebaini mke wangu ana laini mpya

Francis Chacha Wambura
Kazi; Mkulima
Umri: 98
Wake: 6
Watoto: 47
Wajukuu: 86
Sababu ya kifo: uzee

Lazaro Olemgbe
Kazi: Seremala
Umri: 115
Wake: 11
Watoto: 56
Wajukuu: 132
Sababu ya kifo: Uzee.

Mabura Mabondo Matinde
Kazi: Tailor
Umri: 109
Wake: 4
Watoto: 38
Wajukuu: 73
Sababu ya kifo: Uzee

Dk Benson Ngonyani (Phd)
Kazi: Mhadhiri
Umri: 53
Mke: 1
Watoto: 2
Wajukuu: 0
Sababu ya kifo: shinikizo la damu.

Samweli Julius Mushi
Kazi: Meneja wa Benki
Umri: 47
Mke: 1
Watoto; 2
Wajukuu; 0
Sababu ya kifo; BP, Sukari

Erick Charles James
Kazi: Mwalimu
Umri: miaka 43
Mke : 1
Watoto: 3
Wajukuu: 0
Sababu ya kifo: Msongo wa mawazo

Sisemi chochote. Ni juu yako kutoa tafsiri yako mwenyewe....
wasomi wengi huleta usomi kwenye ndoa uchunguzi mwingi utafikr wanafanya utetezi wa research kupata masters ...

Mwisho wa siku BP n.k

Nawasilisha Kwa unyenyekevu mkubwa sana
 
Punde nae wife kafika chumbani kapanic,analalamika Inamaana simuamini yeye MKE wa ndoa, namwamini kijana wa ng'ombe?

Nikamwambia "sio kwamba sikwamini, unachonambia hakiingii akilini. Kuanzia namna ulvonipigia Simu, Hadi kudai laini Ni ya kijana. Yaani laini ya kijana wa ng'ombe ikaseviwe majina ya ndugu zako na shoga zako, afu uyo uyo kijana asitambue hata jina Moja kwenye laini inayodaiwa Ni ya kwake. Hapa Kuna kitu kinafichwa."

Akasema,
"Hayo majina sijayakana,Ni yangu, Simu yangu ilkua mtu akipiga haileti majina kwenye kioo, ndo nikaamua kua nayasevu kila wakipiga" nkamuuliza "umeanza kuyasevu lini hayo majina?" Akasema "leo leo wote walkua wakinipigia Simu haileti majina".

Nkarejea kwenye Simu yake kubwa na kuangalia kwenye call records kuangalia majina yote 9 kwenye ile laini ya 900 Kama kweli namba zile 9 zote zilipiga. Nkakuta tangu mwezi wa 10 hamna hata Moja ilopiga,missedcall Wala kupokelewa kupitia Simu kubwa. Nkajua uyu mwanamke ananidanganya.

Nkamwambia wazi wazi
"wee mwanamke Ni mwongo, afu ujui unamdanganya mtu namna gani, humu kwny Simu yako hamna call yyt inayohusiana na hzo namba ulizosevu humu, vinginevyo useme uwa unatumia simu tofauti kuzipigia hizo namba zako. Na nataka niione hiyo Simu Sasa hivi" Akasema Hana Simu tofauti na hiyo.

Basi nikaona ananipotezea MDA,
Nmeondoka pale na kurud kuendelea na shughuli zangu. Lakini kichwan najua Kuna kitu hakiko sawa khs MKE wangu.

Hatua nilizochukua mpk sasa,
1. Nmeanza rasmi kuzifanyia uchunguzi namba Moja baada ya nyingine zilizoseviwa kwny Hii laini.

2. Nmeangalia usajili wa laini, namba imesajiliwa jina la kiume la kiislamu, nataka nianze kumfatilia kumjua mtu huyu Ni Nani.

3. Nmemuuliza mdg wake wa kike wife khs hizo laini (baadae asije geuza kibao Akasema laini za mdg wake), keshanambia haitambui laini Kama hiyo.

4. Kiukweli iman kwa MKE wangu imepungua mno, na kwa hili ntaanza kumchunguza kimya kimya Bila kupanic.

MWENYE MAWAZO,USHAURI AU MAONI TOFAUTI NAwaKARIBISHENI.

Nawasilisha
Acha kumfuatilia bana mbona wewe unacheat na mama Jey? Mwache na yeye achepuke kama unavyofanya!!
 
M
Francis Chacha Wambura
Kazi; Mkulima
Umri: 98
Wake: 6
Watoto: 47
Wajukuu: 86
Sababu ya kifo: uzee

Lazaro Olemgbe
Kazi: Seremala
Umri: 115
Wake: 11
Watoto: 56
Wajukuu: 132
Sababu ya kifo: Uzee.

Mabura Mabondo Matinde
Kazi: Tailor
Umri: 109
Wake: 4
Watoto: 38
Wajukuu: 73
Sababu ya kifo: Uzee

Dk Benson Ngonyani (Phd)
Kazi: Mhadhiri
Umri: 53
Mke: 1
Watoto: 2
Wajukuu: 0
Sababu ya kifo: shinikizo la damu.

Samweli Julius Mushi
Kazi: Meneja wa Benki
Umri: 47
Mke: 1
Watoto; 2
Wajukuu; 0
Sababu ya kifo; BP, Sukari

Erick Charles James
Kazi: Mwalimu
Umri: miaka 43
Mke : 1
Watoto: 3
Wajukuu: 0
Sababu ya kifo: Msongo wa mawazo

Sisemi chochote. Ni juu yako kutoa tafsiri yako mwenyewe....😷😷😷🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️
MKe mmoja
 
we endelea kufuga nyoka ikomae anza kuwa mkali kama simba mwenyezi mungu mwenyewe alisema tuishi nao kwa akili aliwajua kabla hajawanyofoa kwetu ohoo. Wanaume wanakuf mapema sana na kuacha familia ya mke na watoto na yeye ataishi muda kweli we angalia Julias kambarage nyerere mpaka leo maria yupo.
 
Wakuu

Leo nikiwa bize sana dukani, nakuja kustuka Simu yangu ya private ina missedcall namba ngeni ya tigo inaishia na 900, ikabidi kuipigia haraka.

Simu imepokelewa, sauti ni ya wife, namuuliza vipi naona ulinipigia, Akasema sijakupigia. Nikamuuliza namba ya Nani Hii, mbona unatumia namba ngeni?. Akasema " sio namba ngeni, ni laini yangu ya Siku zote". Nikamwambia "sawa, nenda Kwenye point, ulikua unasemaje"

Akasema " Nlkupigia, nilitaka kukuuliza nikuhesabu chakula, utakuja kula?" Nikamuuliza "Ni lini nmewai kuja kula chakula Cha mchana nyumbani. Kwangu? Au umekosea namba?"

Akasema "nakoseaje namba yako mme wangu, kwani Kuna ubaya gani kukuuliza?" Nikamwambia "hamna ubaya, tatzo Hii namba ngeni ulonipigia, pia mazunguzo unayoleta Ni Kama hayanihusu Mimi" akahamaki.

Nikaongezea "Unanikaribishaje chakula Cha mchana na unajua kbs sijawahi kurudi mchana kula Lunch nyumbani?" Akasema "Basi yaishe, naona umekasirika mme wangu". Nikamwambia "sawa" Kisha nkakata Simu.
Mchunga ng'ombe ana UMRI gani?????
 
WATU WEEEEEUUUUWEEEEHHHHHHHHHHHHHHHH!!!!!
nIMEFURAHIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
 
Back
Top Bottom