Nimebaini mke wangu ana laini mpya

Nimebaini mke wangu ana laini mpya

Lain ya private ndo inahusu family and friends, ndo mara nyng unipigia uko
Boss hakuna cha family wala friends hayo majina yamebadilishwa tu baada ya kugundua amekosea akakupigia na hiyo line na hata kama yatakuwa ni ya family na friends wake atakuwa ameyaweka kimkakati baada ya kujua tayari ameshayakoroga so akaona atengeneze trust kwako kwa kusave majina kadhaa ya marafiki na ndugu zake na huenda mhusika ameshafutwa namba yake kwenye hiyo line na kupewa full info. So kazi ni kwako kuujua ukweli ambao ukimsikiliza yeye siyo rahisi sana kuujua.

Ila kijana wako wa kazi kuikana hiyo line pamoja na leading questions za your wife tayari ujue hiyo line siyo salama kabisa kwako. Ukimbana seriously utaujua ukweli ila sasa je uko tayari kukabiliana na ukweli unaoutaka kuujua?
 
Hapaswi kukaa na mwanamke kiboya eti kisa unamuamini. Kumchunguza haimaanishi kwamba unataka kumkamata uhuni wake. Ila muda mwingine unaweza jua mke wako anachangamoto gani ambazo ukizijua unaweza msaidia bila yeye kujua na ukadumisha mahusiano yenu.

Mimi wangu namjua mpaka basi, hadi anaenjoy kuwa na mimi.

Hawa viumbe muda mwingine wana changamoto ambazo hawa wezi kukwambia directly, wao wanataka uzijue bila kuambiwa. Na unakuta hizo changamoto zake yuko confortable kumuelezea rafiki au jamaa yake ila siyo wewe.

Mwanamke anataka mwanamme anaye njulia. Mfano anataka kuchepuka wewe uka intervine bila yeye kujua, atakuheshumu balaa na hatarudia tena.

Kwani kazi ya intelijensia kama CIA, MOSSAD, M16, KGB, TISS ni nini wakati kuna majeshi?
Ninaendelea kuweka pingamizi mambo ya kumchunguz mkeo ni ya kizamani sana, mwanamke wako kama unataka awe anakuambia ishu zake mtengenezee mazingira mazuri ya kiurafiiki, kimatani atakuambia kila kitu chake ila sio mpaka umchunguze.

Unavyomjali mkeo na kumpenda huo ni uwekezaji katika penzi so katika kumchunguza ukiona jambo lisilo sawa tayari anakuwekea dosari kwenye moyo wako na upendo huanza kushuka, sioni sababu za kumchunguza
 
Boss hakuna cha family wala friends hayo majina yamebadilishwa tu baada ya kugundua amekosea akakupigia na hiyo line na hata kama yatakuwa ni ya family na friends wake atakuwa ameyaweka kimkakati baada ya kujua tayari ameshayakoroga so akaona atengeneze trust kwako kwa kusave majina kadhaa ya marafiki na ndugu zake na huenda mhusika ameshafutwa namba yake kwenye hiyo line na kupewa full info. So kazi ni kwako kuujua ukweli ambao ukimsikiliza yeye siyo rahisi sana kuujua.

Ila kijana wako wa kazi kuikana hiyo line pamoja na leading questions za your wife tayari ujue hiyo line siyo salama kabisa kwako. Ukimbana seriously utaujua ukweli ila sasa je uko tayari kukabiliana na ukweli unaoutaka kuujua?
Kifua nnacho,ndo maana nmejipa nafas nifanye uchunguzi
 
Mkuu pole na nikuambie ya kwamba mkeo ana kudanganya km hayo uliyosema ni maelezo yake.
Vp,ajira na usalama wa ajira ya kijana unavilindaje maana hapo lazima atatwishwa zigo zito na huenda akakimbia bila kuaga?

Nje ya mada mkuu,
Mama J siku hizi sioni nyuzi zinazomhusu ama umeamua kutulia na sasa unashangaa mkeo kutaka kuliamsha dude ili naye aone km utafurahi?
mamaJ Alitulia Kia's apa katkati, wiki ilopita kaliamsha Tena. Uyu mwanamke Kama ana mapepo vile
 
Punde nae wife kafika chumbani kapanic,analalamika Inamaana simuamini yeye MKE wa ndoa, namwamini kijana wa ng'ombe?

Nikamwambia "sio kwamba sikwamini, unachonambia hakiingii akilini. Kuanzia namna ulvonipigia Simu, Hadi kudai laini Ni ya kijana. Yaani laini ya kijana wa ng'ombe ikaseviwe majina ya ndugu zako na shoga zako, afu uyo uyo kijana asitambue hata jina Moja kwenye laini inayodaiwa Ni ya kwake. Hapa Kuna kitu kinafichwa."

Akasema,
"Hayo majina sijayakana,Ni yangu, Simu yangu ilkua mtu akipiga haileti majina kwenye kioo, ndo nikaamua kua nayasevu kila wakipiga" nkamuuliza "umeanza kuyasevu lini hayo majina?" Akasema "leo leo wote walkua wakinipigia Simu haileti majina".

Nkarejea kwenye Simu yake kubwa na kuangalia kwenye call records kuangalia majina yote 9 kwenye ile laini ya 900 Kama kweli namba zile 9 zote zilipiga. Nkakuta tangu mwezi wa 10 hamna hata Moja ilopiga,missedcall Wala kupokelewa kupitia Simu kubwa. Nkajua uyu mwanamke ananidanganya.

Nkamwambia wazi wazi
"wee mwanamke Ni mwongo, afu ujui unamdanganya mtu namna gani, humu kwny Simu yako hamna call yyt inayohusiana na hzo namba ulizosevu humu, vinginevyo useme uwa unatumia simu tofauti kuzipigia hizo namba zako. Na nataka niione hiyo Simu Sasa hivi" Akasema Hana Simu tofauti na hiyo.

Basi nikaona ananipotezea MDA,
Nmeondoka pale na kurud kuendelea na shughuli zangu. Lakini kichwan najua Kuna kitu hakiko sawa khs MKE wangu.

Hatua nilizochukua mpk sasa,
1. Nmeanza rasmi kuzifanyia uchunguzi namba Moja baada ya nyingine zilizoseviwa kwny Hii laini.

2. Nmeangalia usajili wa laini, namba imesajiliwa jina la kiume la kiislamu, nataka nianze kumfatilia kumjua mtu huyu Ni Nani.

3. Nmemuuliza mdg wake wa kike wife khs hizo laini (baadae asije geuza kibao Akasema laini za mdg wake), keshanambia haitambui laini Kama hiyo.

4. Kiukweli iman kwa MKE wangu imepungua mno, na kwa hili ntaanza kumchunguza kimya kimya Bila kupanic.

MWENYE MAWAZO,USHAURI AU MAONI TOFAUTI NAwaKARIBISHENI.

Nawasilisha
Mm naomba kujua majay bado mnaendelea,
 
Usingeanzisha zogo hivo..truth spy unge install na kulipia na kupata ushahidi wote..Yani kifupi ungejua in and out..Sasa umeshamstua
 
Mkuu achana na hiyo mkuu!!

Sim ya mke achana nayo!mi niliona ameweka password sikuuliza Hadi leo!

Na hivi ni madam unaanzaje kumuuliza!!?

Tuna vitu vingi vya ku figure out acha kuongeza matatizo mkuu!!
 
Si tulishawaambia.

KATAA NDOA, Mkioa tunawafata kuwatusua huko huko kwenye ndoa zenu.
 
Punde nae wife kafika chumbani kapanic,analalamika Inamaana simuamini yeye MKE wa ndoa, namwamini kijana wa ng'ombe?

Nikamwambia "sio kwamba sikwamini, unachonambia hakiingii akilini. Kuanzia namna ulvonipigia Simu, Hadi kudai laini Ni ya kijana. Yaani laini ya kijana wa ng'ombe ikaseviwe majina ya ndugu zako na shoga zako, afu uyo uyo kijana asitambue hata jina Moja kwenye laini inayodaiwa Ni ya kwake. Hapa Kuna kitu kinafichwa."

Akasema,
"Hayo majina sijayakana,Ni yangu, Simu yangu ilkua mtu akipiga haileti majina kwenye kioo, ndo nikaamua kua nayasevu kila wakipiga" nkamuuliza "umeanza kuyasevu lini hayo majina?" Akasema "leo leo wote walkua wakinipigia Simu haileti majina".

Nkarejea kwenye Simu yake kubwa na kuangalia kwenye call records kuangalia majina yote 9 kwenye ile laini ya 900 Kama kweli namba zile 9 zote zilipiga. Nkakuta tangu mwezi wa 10 hamna hata Moja ilopiga,missedcall Wala kupokelewa kupitia Simu kubwa. Nkajua uyu mwanamke ananidanganya.

Nkamwambia wazi wazi
"wee mwanamke Ni mwongo, afu ujui unamdanganya mtu namna gani, humu kwny Simu yako hamna call yyt inayohusiana na hzo namba ulizosevu humu, vinginevyo useme uwa unatumia simu tofauti kuzipigia hizo namba zako. Na nataka niione hiyo Simu Sasa hivi" Akasema Hana Simu tofauti na hiyo.

Basi nikaona ananipotezea MDA,
Nmeondoka pale na kurud kuendelea na shughuli zangu. Lakini kichwan najua Kuna kitu hakiko sawa khs MKE wangu.

Hatua nilizochukua mpk sasa,
1. Nmeanza rasmi kuzifanyia uchunguzi namba Moja baada ya nyingine zilizoseviwa kwny Hii laini.

2. Nmeangalia usajili wa laini, namba imesajiliwa jina la kiume la kiislamu, nataka nianze kumfatilia kumjua mtu huyu Ni Nani.

3. Nmemuuliza mdg wake wa kike wife khs hizo laini (baadae asije geuza kibao Akasema laini za mdg wake), keshanambia haitambui laini Kama hiyo.

4. Kiukweli iman kwa MKE wangu imepungua mno, na kwa hili ntaanza kumchunguza kimya kimya Bila kupanic.

MWENYE MAWAZO,USHAURI AU MAONI TOFAUTI NAwaKARIBISHENI.

Nawasilisha
Kaka ninavyo kuheshimu humu jukwaani kumbe na wewe una chapiwa bwana

Astaghafirullah
 
Back
Top Bottom