Nimebaini mke wangu ana laini mpya

Nimebaini mke wangu ana laini mpya

Ha ha ha....kwamba kajileta mwnyw
na umembananisha vuzuri sana, hata kua na amani for a while na hatarudia kua na line nyingine ya kificho kamwe..

na mchepuko wake atakua anatetemeka huko pale uliposema utafualia mweye huo usajili ni nani
 
me mtu akishaniongopea tu shughuli imeisha. ni kheri akasemaa ukweli nijue kaamua kubadilika ila akiendelea kuongopa means bado anataka kuendelea.
 
Daah...DP kati ya Uzi uliouleta jukwaani kinyonge ni huu...hakika kuchapiwa kinauma
 
Sema ninavo jua mimi kama mke ameanza kuchepuka bora ukamuacha. Japo ina uma lakini ndio bora ufanye hivo
 
Yaan ningekua ni wewe nisingeleta huu uzi humu mana ni aibu wewe umeanza kula nje mudaa ila mkeo kakutingisha kidogo tu umetoka mstarini. Ukae kwa kutulia dawa iingie.
Binadamu hatupendi kufanyiwa yale tunayowafanyia wengine... Kama tungekua tunavaa viatu vya wenzetu kabla ya kuwatendea mabaya basi tungekua makini kwa kutowaaumiza hisia wengine.
 
Yaan ningekua ni wewe nisingeleta huu uzi humu mana ni aibu wewe umeanza kula nje mudaa ila mkeo kakutingisha kidogo tu umetoka mstarini. Ukae kwa kutulia dawa iingie.
Binadamu hatupendi kufanyiwa yale tunayowafanyia wengine... Kama tungekua tunavaa viatu vya wenzetu kabla ya kuwatendea mabaya basi tungekua makini kwa kutowaaumiza hisia wengine.
 
Wakuu

Leo nikiwa bize sana dukani, nakuja kustuka Simu yangu ya private ina missedcall namba ngeni ya tigo inaishia na 900, ikabidi kuipigia haraka.

Simu imepokelewa, sauti ni ya wife, namuuliza vipi naona ulinipigia, Akasema sijakupigia. Nikamuuliza namba ya Nani Hii, mbona unatumia namba ngeni?. Akasema " sio namba ngeni, ni laini yangu ya Siku zote". Nikamwambia "sawa, nenda Kwenye point, ulikua unasemaje"

Akasema " Nlkupigia, nilitaka kukuuliza nikuhesabu chakula, utakuja kula?" Nikamuuliza "Ni lini nmewai kuja kula chakula Cha mchana nyumbani. Kwangu? Au umekosea namba?"

Akasema "nakoseaje namba yako mme wangu, kwani Kuna ubaya gani kukuuliza?" Nikamwambia "hamna ubaya, tatzo Hii namba ngeni ulonipigia, pia mazunguzo unayoleta Ni Kama hayanihusu Mimi" akahamaki.

Nikaongezea "Unanikaribishaje chakula Cha mchana na unajua kbs sijawahi kurudi mchana kula Lunch nyumbani?" Akasema "Basi yaishe, naona umekasirika mme wangu". Nikamwambia "sawa" Kisha nkakata Simu.
Story ilipoanza tu kama muelewa ushagundua kitu, number yako ya private ikaita, Ni mke wako ndio alipiga. Aliijuaje hio number yako ya majanga? Mpaka hapo mke wako alishajua uozo wako na umalaya wako, aliamua kufanya hivyo ili akurushe roho na wewe. Ila hata kama anagongwa si na wewe unagonga huko? Tena pengine ni wake za watu pia unakula. Kausha usimchunguze sana bata utashindwa kumla,
 
Sasa mbona umechelewa kujua mpk umeachiwa manyoya bro 😂😂😂
Pole kunywa maji mengi, na wanawake tukifikia stage hiyo hata utuambie nini hatuachi!!!! Ww cha kufanya mkumbushe asilete mimba au magonjwa 🤣
Lakini si uko na mama J 😜
 
Punde nae wife kafika chumbani kapanic,analalamika Inamaana simuamini yeye MKE wa ndoa, namwamini kijana wa ng'ombe?

Nikamwambia "sio kwamba sikwamini, unachonambia hakiingii akilini. Kuanzia namna ulvonipigia Simu, Hadi kudai laini Ni ya kijana. Yaani laini ya kijana wa ng'ombe ikaseviwe majina ya ndugu zako na shoga zako, afu uyo uyo kijana asitambue hata jina Moja kwenye laini inayodaiwa Ni ya kwake. Hapa Kuna kitu kinafichwa."

Akasema,
"Hayo majina sijayakana,Ni yangu, Simu yangu ilkua mtu akipiga haileti majina kwenye kioo, ndo nikaamua kua nayasevu kila wakipiga" nkamuuliza "umeanza kuyasevu lini hayo majina?" Akasema "leo leo wote walkua wakinipigia Simu haileti majina".

Nkarejea kwenye Simu yake kubwa na kuangalia kwenye call records kuangalia majina yote 9 kwenye ile laini ya 900 Kama kweli namba zile 9 zote zilipiga. Nkakuta tangu mwezi wa 10 hamna hata Moja ilopiga,missedcall Wala kupokelewa kupitia Simu kubwa. Nkajua uyu mwanamke ananidanganya.

Nkamwambia wazi wazi
"wee mwanamke Ni mwongo, afu ujui unamdanganya mtu namna gani, humu kwny Simu yako hamna call yyt inayohusiana na hzo namba ulizosevu humu, vinginevyo useme uwa unatumia simu tofauti kuzipigia hizo namba zako. Na nataka niione hiyo Simu Sasa hivi" Akasema Hana Simu tofauti na hiyo.

Basi nikaona ananipotezea MDA,
Nmeondoka pale na kurud kuendelea na shughuli zangu. Lakini kichwan najua Kuna kitu hakiko sawa khs MKE wangu.

Hatua nilizochukua mpk sasa,
1. Nmeanza rasmi kuzifanyia uchunguzi namba Moja baada ya nyingine zilizoseviwa kwny Hii laini.

2. Nmeangalia usajili wa laini, namba imesajiliwa jina la kiume la kiislamu, nataka nianze kumfatilia kumjua mtu huyu Ni Nani.

3. Nmemuuliza mdg wake wa kike wife khs hizo laini (baadae asije geuza kibao Akasema laini za mdg wake), keshanambia haitambui laini Kama hiyo.

4. Kiukweli iman kwa MKE wangu imepungua mno, na kwa hili ntaanza kumchunguza kimya kimya Bila kupanic.

MWENYE MAWAZO,USHAURI AU MAONI TOFAUTI NAwaKARIBISHENI.

Nawasilisha
Mkuu pole na nikuambie ya kwamba mkeo ana kudanganya km hayo uliyosema ni maelezo yake.
Vp,ajira na usalama wa ajira ya kijana unavilindaje maana hapo lazima atatwishwa zigo zito na huenda akakimbia bila kuaga?

Nje ya mada mkuu,
Mama J siku hizi sioni nyuzi zinazomhusu ama umeamua kutulia na sasa unashangaa mkeo kutaka kuliamsha dude ili naye aone km utafurahi?
 
Vinauma kwenu ila ww unavyomcheat unaona sawa? Wanandoa heshimuni ndoa zenu...usikute anajua A to Z za huyo mam Jay ameshakuvumilia amekuchoka...maybe hajaanza kukucheat ila yuko mbioni..so act as a man...stop rubbish with yo mama Jay..
 
Idea ni nzuri kimkakati kumpa zawadi, ila kuweka uchunguzi ni mtihani ambao utakufelisha kimaisha
Hapaswi kukaa na mwanamke kiboya eti kisa unamuamini. Kumchunguza haimaanishi kwamba unataka kumkamata uhuni wake. Ila muda mwingine unaweza jua mke wako anachangamoto gani ambazo ukizijua unaweza msaidia bila yeye kujua na ukadumisha mahusiano yenu.

Mimi wangu namjua mpaka basi, hadi anaenjoy kuwa na mimi.

Hawa viumbe muda mwingine wana changamoto ambazo hawa wezi kukwambia directly, wao wanataka uzijue bila kuambiwa. Na unakuta hizo changamoto zake yuko confortable kumuelezea rafiki au jamaa yake ila siyo wewe.

Mwanamke anataka mwanamme anaye njulia. Mfano anataka kuchepuka wewe uka intervine bila yeye kujua, atakuheshumu balaa na hatarudia tena.

Kwani kazi ya intelijensia kama CIA, MOSSAD, M16, KGB, TISS ni nini wakati kuna majeshi?
 
Back
Top Bottom