Pridah
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 1,996
- 4,010
Wanakubaliana nae nini?kuna wanawake wanakubaliana nae

me kusaliti ni bora kuliko keWanakubaliana nae nini?
Hahaha kampata wa kufanana naeKumbe we na mkeo wote ngoma droo😂
ndio mawazo ya kivietnamUnapigiwa huyo...
Hiyo ni mbinu yake ya kivita..
😂😂😂😂😂Jamani muoneeni huruma bro deeppondWife anachomoa goal dakika za jioooooooniiiiii na kufanya ubao kuwa 1-1, 😂 mtanange unaendelea hapa
Hamna usaliti bora/nafuu sema tu mwanamme akichiti then mke akalipiza kisasi kwa kuchiti hapo mke atakua kakosea zaidime kusaliti ni bora kuliko ke
Mkuu unamlea wife, ungemnasa kelebu moja matata kwanza huku umekaza sura. Kuna times inabidi ubabe utumike kupata unachotaka. Kabla ya kufika kwa kijana ilitakiwa ujue laini inasoma jina la nani.Punde nae wife kafika chumbani kapanic,analalamika Inamaana simuamini yeye MKE wa ndoa, namwamini kijana wa ng'ombe?
Nikamwambia "sio kwamba sikwamini, unachonambia hakiingii akilini. Kuanzia namna ulvonipigia Simu, Hadi kudai laini Ni ya kijana. Yaani laini ya kijana wa ng'ombe ikaseviwe majina ya ndugu zako na shoga zako, afu uyo uyo kijana asitambue hata jina Moja kwenye laini inayodaiwa Ni ya kwake. Hapa Kuna kitu kinafichwa."
Akasema,
"Hayo majina sijayakana,Ni yangu, Simu yangu ilkua mtu akipiga haileti majina kwenye kioo, ndo nikaamua kua nayasevu kila wakipiga" nkamuuliza "umeanza kuyasevu lini hayo majina?" Akasema "leo leo wote walkua wakinipigia Simu haileti majina".
Nkarejea kwenye Simu yake kubwa na kuangalia kwenye call records kuangalia majina yote 9 kwenye ile laini ya 900 Kama kweli namba zile 9 zote zilipiga. Nkakuta tangu mwezi wa 10 hamna hata Moja ilopiga,missedcall Wala kupokelewa kupitia Simu kubwa. Nkajua uyu mwanamke ananidanganya.
Nkamwambia wazi wazi
"wee mwanamke Ni mwongo, afu ujui unamdanganya mtu namna gani, humu kwny Simu yako hamna call yyt inayohusiana na hzo namba ulizosevu humu, vinginevyo useme uwa unatumia simu tofauti kuzipigia hizo namba zako. Na nataka niione hiyo Simu Sasa hivi" Akasema Hana Simu tofauti na hiyo.
Basi nikaona ananipotezea MDA,
Nmeondoka pale na kurud kuendelea na shughuli zangu. Lakini kichwan najua Kuna kitu hakiko sawa khs MKE wangu.
Hatua nilizochukua mpk sasa,
1. Nmeanza rasmi kuzifanyia uchunguzi namba Moja baada ya nyingine zilizoseviwa kwny Hii laini.
2. Nmeangalia usajili wa laini, namba imesajiliwa jina la kiume la kiislamu, nataka nianze kumfatilia kumjua mtu huyu Ni Nani.
3. Nmemuuliza mdg wake wa kike wife khs hizo laini (baadae asije geuza kibao Akasema laini za mdg wake), keshanambia haitambui laini Kama hiyo.
4. Kiukweli iman kwa MKE wangu imepungua mno, na kwa hili ntaanza kumchunguza kimya kimya Bila kupanic.
MWENYE MAWAZO,USHAURI AU MAONI TOFAUTI NAwaKARIBISHENI.
Nawasilisha![]()
Mr. mama jay!....Punde nae wife kafika chumbani kapanic,analalamika Inamaana simuamini yeye MKE wa ndoa, namwamini kijana wa ng'ombe?

Leo kapigiwa kwa line mpya kesho atapewa koneksheni live moja kwa moja mchunga ng'ombe akipiga apah apah apah.......!Kijana kaikana
Ngoja kwanza, then ukishajua analiwa au keshaliwa unamfanyaje?Yule bado learner Sana kwny Ayo mambo
Kama Ni janja janja ntamkamata haraka sana
Manina, siku unagundua wewe ndio learner ndiopo utakapokabidhi ufunguo kwa mwenye gari.Yule bado learner Sana kwny Ayo mambo
Kama Ni janja janja ntamkamata haraka sana
Hii mechi huenda ikaahirishwa.Wife anachomoa goal dakika za jioooooooniiiiii na kufanya ubao kuwa 1-1, 😂 mtanange unaendelea hapa