Nimebaini mke wangu ana laini mpya

Nimebaini mke wangu ana laini mpya

Bila shaka wewe sio Muislamu, Hii inatokana na maelezo yako ya kuona jina la kiislamu.

Sasa ni hivi, rejea kwenye malengo yako ya awal ya kuingia kwenye ndoa yako.

Kwenye hili mwanamke kakuzidi maarifa ndio sababu bado hujaujua ukweli wa nn hasa kipo japo ushahidi wa kilichopo unao lkn hujui ni nini.

Ongea na mkeo utulie wewe na yeye.
 
yote kwa yote life has to go on. Niliacha kumuamin wife 2012 na bado nikafunga nae ndoa 2015.
Tunaoa kwasababu nyingi sana na malengo tofauti tofauti.
Siishi kwa ugomvi na wife na tumefanya maendeleo maendeleo mengi makubwa pamoja ila sijawah kumuamin na sitakaa nikuamin hata siku moja.. sifuatilii maisha yake but principles zangu ndani ya nyumba ziko waz and my red lines are so clear.
Nina expectations zangu kwake na anazijua hasa hasa katika
  • kutunza na kulea watoto wangu
  • utarati ubwa kutoka na kurud nyumban kwetu tena kwa kuzingatia muda sio hovyo hovyo
  • kutunza heshima yangu
  • sijali sana kama ananipemda au lah ila heshima yangu sio mjadala ni lazima
  • heshima huwa inaisha so lazima mwanamke akuogope kwa namna flan hii inasaidia sana ku balance mambo mengi japo sio rahis ku apply hii.
  • maisha yake private i dont care
  • anajua kabisaa kwamba hata akitaka kuondoka leo she is free to go n start her own life.

NB
So far kwa hii miaka 12 we have been so good. Yajayo ni Mungu anajua ila tu nilishakataa kuendeshwa na mwanamke till i die
 
Punde nae wife kafika chumbani kapanic,analalamika Inamaana simuamini yeye MKE wa ndoa, namwamini kijana wa ng'ombe?

Nikamwambia "sio kwamba sikwamini, unachonambia hakiingii akilini. Kuanzia namna ulvonipigia Simu, Hadi kudai laini Ni ya kijana. Yaani laini ya kijana wa ng'ombe ikaseviwe majina ya ndugu zako na shoga zako, afu uyo uyo kijana asitambue hata jina Moja kwenye laini inayodaiwa Ni ya kwake. Hapa Kuna kitu kinafichwa."

Akasema,
"Hayo majina sijayakana,Ni yangu, Simu yangu ilkua mtu akipiga haileti majina kwenye kioo, ndo nikaamua kua nayasevu kila wakipiga" nkamuuliza "umeanza kuyasevu lini hayo majina?" Akasema "leo leo wote walkua wakinipigia Simu haileti majina".

Nkarejea kwenye Simu yake kubwa na kuangalia kwenye call records kuangalia majina yote 9 kwenye ile laini ya 900 Kama kweli namba zile 9 zote zilipiga. Nkakuta tangu mwezi wa 10 hamna hata Moja ilopiga,missedcall Wala kupokelewa kupitia Simu kubwa. Nkajua uyu mwanamke ananidanganya.

Nkamwambia wazi wazi
"wee mwanamke Ni mwongo, afu ujui unamdanganya mtu namna gani, humu kwny Simu yako hamna call yyt inayohusiana na hzo namba ulizosevu humu, vinginevyo useme uwa unatumia simu tofauti kuzipigia hizo namba zako. Na nataka niione hiyo Simu Sasa hivi" Akasema Hana Simu tofauti na hiyo.

Basi nikaona ananipotezea MDA,
Nmeondoka pale na kurud kuendelea na shughuli zangu. Lakini kichwan najua Kuna kitu hakiko sawa khs MKE wangu.

Hatua nilizochukua mpk sasa,
1. Nmeanza rasmi kuzifanyia uchunguzi namba Moja baada ya nyingine zilizoseviwa kwny Hii laini.

2. Nmeangalia usajili wa laini, namba imesajiliwa jina la kiume la kiislamu, nataka nianze kumfatilia kumjua mtu huyu Ni Nani.

3. Nmemuuliza mdg wake wa kike wife khs hizo laini (baadae asije geuza kibao Akasema laini za mdg wake), keshanambia haitambui laini Kama hiyo.

4. Kiukweli iman kwa MKE wangu imepungua mno, na kwa hili ntaanza kumchunguza kimya kimya Bila kupanic.

MWENYE MAWAZO,USHAURI AU MAONI TOFAUTI NAwaKARIBISHENI.

Nawasilisha
Deep pond kwenye one and two

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo muda wote huo mnazungushana kama Senene kwenye taa umeshindwa hata kuangalia hiyo line imesajiriwa kwa jina gani?
 
yote kwa yote life has to go on. Niliacha kumuamin wife 2002 na bado nikafunga nae ndoa 2005.
Tunaoa kwasababu nyingi sana na malengo tofauti tofauti.
Siishi kwa ugomvi na wife na tumefanya maendeleo maendeleo mengi makubwa pamoja ila sijawah kumuamin na sitakaa nikuamin hata siku moja.. sifuatilii maisha yake but principles zangu ndani ya nyumba ziko waz and my red lines are so clear.
Nina expectations zangu kwake na anazijua hasa hasa katika
  • kutunza na kulea watoto wangu
  • utarati ubwa kutoka na kurud nyumban kwetu tena kwa kuzingatia muda sio hovyo hovyo
  • kutunza heshima yangu
  • sijali sana kama ananipemda au lah ila heshima yangu sio mjadala ni lazima
  • heshima huwa inaisha so lazima mwanamke akuogope kwa namna flan hii inasaidia sana ku balance mambo mengi japo sio rahis ku apply hii.
  • maisha yake private i dont care
  • anajua kabisaa kwamba hata akitaka kuondoka leo she is free to go n start her own life.

NB
So far kwa hii miaka 12 we have been so good. Yajayo ni Mungu anajua ila tu nilishakataa kuendeshwa na mwanamke till i die
Tumefanana mkuu, mi pia ndoa Ina 12yrs
 
Kwamba wewe uwaweke nje, wife yeye katulizana ndani anasubiri urudi saa7 usiku.

Kwamba wewe huna mda na familia, utegemee wife awe na muda na wewe.

Bro, ilikuwa swala la mda tu. Hawa wanawake sio kile kizazi cha 40s, 50s na 60s. Hiki ni kile kizazi kilichojaa laana. Mimi nikichapa nje, najua wife ni swala la mda tu nae atawekwa na wahuni...
 
Back
Top Bottom