Sawa mkuu,kila la kheri,ila kuna hicho cha kwanza kama ukikiweza kujiepusha nacho itakuwa vizuri sana,ina maana sasa hutaoa kabisa...?Faida ni nyingi hakika maradhi ya sukari, shinikizo la damu, inflammation, matatizo ya ngozi, hali ya umakini, kutokuwa/kupunguza stress and so many more. Kiroho ni nguvu zaidi baina ya roho, nafsi, nature na muumba hakuna doubt wala vikwazo.
Ati! Niache nyama choma laini, ndizi na kachumbari kwa pembeni, ukiteremshia na kinywaji baridiii nitakuwa nafanya kazi kwa ajili gani sasa!Nakutamania, maisha mazuri hayo ila usijinyime sana ukatenda dhambi..mie nisipokula nyama 3dys roho hua inataka kutoka!
Soda nisipokunywa Coca sifanyi kitu nakua zoba.
Hapa niko sehem nasubiria mishikaki kwanza.
All the best
Shukrani, na ni kweli maana ya hili sitokuja kuoa.Sawa mkuu,kila la kheri,ila kuna hicho cha kwanza kama ukikiweza kujiepusha nacho itakuwa vizuri sana,ina maana sasa hutaoa kabisa...?
Mkuu ,ukiuchuma mchicha huuui mkuu Ila ukiung'oa ndo unauuaHivi miti na mimea si ni viumbe hai navyo mkuu? Huvionei huruma navyo? Kwanini unakula mchicha au spinachi wakati ili uukule lazima uuchume (Ndio kuua kwenyewe huko)?
We jilie tu vyote vinavyoruhusiwa ila mengine fanya kama ulivyoamua.
Nje ya mada, hautashiriki sex ndio kusema hautaoa wala nini? Vipi puchu?
[emoji15]Ikiwa sijawahi kufeli, siamini katika kitu kufeli na katu sitokuja kufeli. Huu ni mwaka wa 21 bila sex ije kushindwa miaka kadhaa bakia?
Nyama foil😋Ati! Niache nyama choma laini, ndizi na kachumbari kwa pembeni, ukiteremshia na kinywaji baridiii nitakuwa nafanya kazi kwa ajili gani sasa!
Nakutamania, maisha mazuri hayo ila usijinyime sana ukatenda dhambi..mie nisipokula nyama 3dys roho hua inataka kutoka!
Soda nisipokunywa Coca sifanyi kitu nakua zoba.
Hapa niko sehem nasubiria mishikaki kwanza.
All the best
Kajiunga na dini ya master chin hai yule mama tapeli msagaji
🤣 Na zile dawa wanajaribiwa panya nazo hataki, mambo mengine ya kuiga hii nature hata huko porini wanyama wanakulana na Mungu katupa barka hii ndio maana unaona mbuzi au Ng'ombe wanachinjwa kila siku lakini hawaishi ila paka wanazaana dozen hakuna anaowala lakini wako wachache na hawana thamani.Vipi huvai viatu unapekua kama mjomba Mpoto
kwan VEGAN mwenyew anasemaje
labda uwe kwa mpalange ukizidi sana unakuwa kimara bonyokwaKwa sababu fulani fulani nategemea nami siku moja niwe huko. One day.
SijuiHivi sehemu gani hapa tanzania wanapika konokono vizuri?
Hivi sehemu gani hapa tanzania wanapika konokono vizuri?
Haya endelea kula mishikakiNakutamania, maisha mazuri hayo ila usijinyime sana ukatenda dhambi..mie nisipokula nyama 3dys roho hua inataka kutoka!
Soda nisipokunywa Coca sifanyi kitu nakua zoba.
Hapa niko sehem nasubiria mishikaki kwanza.
All the best