luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,325
- 6,871
Ndio mkuu , hapo una kwenda kupoteza ile kitu tunaita nguvu za kiume
Kuanzia sasa nitakuwa nafatilia post zako pamoja na komenti ili nijue akili utaanza kuruka baada ya muda gani .Leo ahsubuhi wakati naenda kuoga nimeteleza na kuanguka kwa kishindo kikubwa nikiwa ndani chooni.
Nina afya nzuri kabisa. Sina pressure, wala tatizo la moyo.
Kuna dhana kwamba ukianguka chooni, unaweza kufa au kupata matatizo. Naona wife anahema sana. Kuna ukweli wowote kwenye hili?
Mshana Jr
Huenda alienda na simu! $@-//Usiwe unaogea chooni.
Halaf usiwe unaenda kuoga ukiwa umebeba ndoo ya maji.
Nadhan utanishukuru
...Umeishasema kwamba ulianguka baada ya kuteleza.Leo ahsubuhi wakati naenda kuoga nimeteleza na kuanguka kwa kishindo kikubwa nikiwa ndani chooni.
Nina afya nzuri kabisa. Sina pressure, wala tatizo la moyo.
Kuna dhana kwamba ukianguka chooni, unaweza kufa au kupata matatizo. Naona wife anahema sana. Kuna ukweli wowote kwenye hili?
Mshana Jr
Mcha Mungu hawezi kufikiri na kuwa muoga kwa kuanguka angalia Imani yako...Jini mahaba tena😆😆😆 hapana mimi ni mcha Mungu jini hawezi nifwata.
Mkuu hiyo ni uhakika utakufa au kupata stroke.....pole yakoLeo ahsubuhi wakati naenda kuoga nimeteleza na kuanguka kwa kishindo kikubwa nikiwa ndani chooni.
Nina afya nzuri kabisa. Sina pressure, wala tatizo la moyo.
Kuna dhana kwamba ukianguka chooni, unaweza kufa au kupata matatizo. Naona wife anahema sana. Kuna ukweli wowote kwenye hili?
Mshana Jr
Umeshaandika wosia?Leo ahsubuhi wakati naenda kuoga nimeteleza na kuanguka kwa kishindo kikubwa nikiwa ndani chooni.
Nina afya nzuri kabisa. Sina pressure, wala tatizo la moyo.
Kuna dhana kwamba ukianguka chooni, unaweza kufa au kupata matatizo. Naona wife anahema sana. Kuna ukweli wowote kwenye hili?
Mshana Jr
HahahaBasi ungesema umanguka bafuni.
Ukisema umeanguka chooni wengine tunatafsiri umeangukia mavi.
Tiles na vipande vya sabuni ni tatizo , tuwe makini !Nimeteleza mama. Kwa kishindo kikubwa kabisa mimeanguka. Nikafikia kalio na ningekuwa mzembe ningevunja mkono
hahahahaJini mahaba alitaka kufanya yake - una bahati sana kama kakukosa!
Pole ila siyo ishara nzuriLeo ahsubuhi wakati naenda kuoga nimeteleza na kuanguka kwa kishindo kikubwa nikiwa ndani chooni.
Nina afya nzuri kabisa. Sina pressure, wala tatizo la moyo.
Kuna dhana kwamba ukianguka chooni, unaweza kufa au kupata matatizo. Naona wife anahema sana. Kuna ukweli wowote kwenye hili?
Mshana Jr