Nimeanguka chooni leo. Kuna madhara yoyote naweza kupata?

Leo ahsubuhi wakati naenda kuoga nimeteleza na kuanguka kwa kishindo kikubwa nikiwa ndani chooni.

Nina afya nzuri kabisa. Sina pressure, wala tatizo la moyo.

Kuna dhana kwamba ukianguka chooni, unaweza kufa au kupata matatizo. Naona wife anahema sana. Kuna ukweli wowote kwenye hili.

Mshana Jr
Wife anahema kwa kuwa dawa aliyokuwekea imedunda, atakufa yeye sasa kuna watu hawarogeki.
 
Leo ahsubuhi wakati naenda kuoga nimeteleza na kuanguka kwa kishindo kikubwa nikiwa ndani chooni.

Nina afya nzuri kabisa. Sina pressure, wala tatizo la moyo.

Kuna dhana kwamba ukianguka chooni, unaweza kufa au kupata matatizo. Naona wife anahema sana. Kuna ukweli wowote kwenye hili?

Mshana Jr
Ushauri wangu: Anza kuogea chumvi ya mawe asubuhi na jioni ili kuharibu uchawi, nuksi na mikosi kama vipo mwilini. Na utumie siku 7 au hata zaidi.
 
Leo ahsubuhi wakati naenda kuoga nimeteleza na kuanguka kwa kishindo kikubwa nikiwa ndani chooni.

Nina afya nzuri kabisa. Sina pressure, wala tatizo la moyo.

Kuna dhana kwamba ukianguka chooni, unaweza kufa au kupata matatizo. Naona wife anahema sana. Kuna ukweli wowote kwenye hili?

Mshana Jr
Ukiskia kuanguka chooni sio hivyo ulivyoanguka
Ila inakuwa kama unachanganikiwa
 
Leo ahsubuhi wakati naenda kuoga nimeteleza na kuanguka kwa kishindo kikubwa nikiwa ndani chooni.

Nina afya nzuri kabisa. Sina pressure, wala tatizo la moyo.

Kuna dhana kwamba ukianguka chooni, unaweza kufa au kupata matatizo. Naona wife anahema sana. Kuna ukweli wowote kwenye hili?

Mshana Jr
Kama umenusurika huko hakuna shida inaweza kukupata mbeleni hivyo ondoa hofu kabisa
 
Back
Top Bottom