Nimeanguka chooni leo. Kuna madhara yoyote naweza kupata?

Leo ahsubuhi wakati naenda kuoga nimeteleza na kuanguka kwa kishindo kikubwa nikiwa ndani chooni.

Nina afya nzuri kabisa. Sina pressure, wala tatizo la moyo.

Kuna dhana kwamba ukianguka chooni, unaweza kufa au kupata matatizo. Naona wife anahema sana. Kuna ukweli wowote kwenye hili?

Mshana Jr
Kuanzia sasa nitakuwa nafatilia post zako pamoja na komenti ili nijue akili utaanza kuruka baada ya muda gani .

Nakutania mkuu yule jini aliyekua anakaa mavyooni nasikia alikufa alafu hakupata mrithi
 
Ushajiandaa kisaikolojia kuwa kuna namna hapo (ushirikina), ukiambiwa tofauti sijui kama utaelewa....

Babu umetupiwa jini wahi kwa mtaalamu
 
Leo ahsubuhi wakati naenda kuoga nimeteleza na kuanguka kwa kishindo kikubwa nikiwa ndani chooni.

Nina afya nzuri kabisa. Sina pressure, wala tatizo la moyo.

Kuna dhana kwamba ukianguka chooni, unaweza kufa au kupata matatizo. Naona wife anahema sana. Kuna ukweli wowote kwenye hili?

Mshana Jr
...Umeishasema kwamba ulianguka baada ya kuteleza.
Kama hukuumia popote hakuna linaloweza kuendelea tens hapo labda kama ulikuwa umesimama tu vizuri kisha ukajisikia kizunguzungu na kuanguka chino kama gunia LA mahindi!
Hapo ndio unatakiwa kucheki afya yako...!
 
Tena una bahati sana, hilo jini ulilotupiwa lengo ilikuwa likuteketeze bahati nzuri limekupiga kwa nyuma, lingekupiga kwa mbele ilikuwa upoteze maisha, lingekupiga kwa ubavu mwili wako ungepooza, hebu niandalie kiasi cha Pesa, Mbuzi weupe wawili ili nikusafishe mwili wako, ujue hapo ulipo mwili wako haupo safi hata kidogo
 
Leo ahsubuhi wakati naenda kuoga nimeteleza na kuanguka kwa kishindo kikubwa nikiwa ndani chooni.

Nina afya nzuri kabisa. Sina pressure, wala tatizo la moyo.

Kuna dhana kwamba ukianguka chooni, unaweza kufa au kupata matatizo. Naona wife anahema sana. Kuna ukweli wowote kwenye hili?

Mshana Jr
Mkuu hiyo ni uhakika utakufa au kupata stroke.....pole yako
 
Kuna dhana nyingi sana zisizo na mashiko tunazoendelea kuziamini mojawapo ni hii we fikilia choo lazima kiwe kidogo kwa umbo hii inamaana kwamba ukianguka uwezekano wa kuangukia ukuta na kupigiza kichwa ni mkubwa sana hapa hakuna hajanya kutafuta mchawi
Alafu mkuu kwanini usiseme umeanguka bafuni maana ulienda kuoga ungeenda kujisaidia haja kubwa sawa
 
Kama uliteleza haina madhara ni kawaida, next time uwe makini.
 
Leo ahsubuhi wakati naenda kuoga nimeteleza na kuanguka kwa kishindo kikubwa nikiwa ndani chooni.

Nina afya nzuri kabisa. Sina pressure, wala tatizo la moyo.

Kuna dhana kwamba ukianguka chooni, unaweza kufa au kupata matatizo. Naona wife anahema sana. Kuna ukweli wowote kwenye hili?

Mshana Jr
Umeshaandika wosia?
 
Pole ila siyo ishara nzuri
 
Back
Top Bottom