Nimeandikiwa msg hii!

st john imekufanyaje mzee baba hahah tulipitaga pale
 
Potezea mkuu lakini jiandae huyo ni mpenzi wako wa baadae, atakuja mwenyewe wala usioneshe shobo yoyote kwake. Jifanye kama hamjuani, baada ya miezi kadaa utaona sms yake au simu akikutafuta mwenyewe.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Sitakii wewe ndiye unanivaa mimi! Ya nyuma wala hata hayahusiani na mada, we ni mkorofi tu, nna kosa gani kumwambia kuhusu pua yake ilivo kubwa? Nimekusamehe ila sitokusahau Kill boy🙄
Nmemuonea jamaa huruma sanaa maana huenda huo mpua unafanania sahan kwel ndo maana ikabid ajichekeshe uongo...kubwa zaid ww unajua kabx jamaa anampenda bibie kama ulivyompenda saut kokoto ila ukaamua kumkejeli!nmesema tu ukwl FS huna budi kunisamehe
 
We mtumie Pesa kila wiki 50,000 bila kusema Chochote. Ataanza kukutafuta yeye..
 
Katakwua ka student
 
Kama uandishi wake ndio huo, mshujuru Mungu kwa kuachwa, unakuaje na mtu ambae hata kuandika hajui
 
st john imekufanyaje mzee baba hahah tulipitaga pale
Tatizo Hawa madogo wanatupa hasira sana tunajikuta sie wakongwe tuliosoma kipindi hicho vyuo bado vinahadhi ya kuitwa chuo kikuu Ila sio Sasa hivi mkuu tuwaone ni maboya kujisifia nipo chuo kikuu
 
Yes. Bado mdogo wangu. Na usisahau condom, pia kupima muhimu. Hivi watoto wa mama salma siku hizi hawapo?

Hivi hawatoto huwa ni wa namna gani?
Na vipi wale wanaosoma shule za mama Salma na wao wote huwa ndio kama hivyo Tena waeukwaa?
 
Mtumie hela kupitia huduma za simu, na hata huyo mtu wake alikutisha pia mtumie hela kwenye simu yake, baada ya hapo kila kitu kitakua sawa
 
Ndio ujinga wa maisha, Ukiwa Chuo watoto wanakua wakali balaa halafu unakua na "appetite" sana sema unakua huna "cash"!

Ukiwa Mtaani unakua na cash ila sasa unakua huna muda, huna appetite, una majukumu! Dah unakua unapishana na fursa!
kweli mkuu
 
Anamaanisha we raru huna hela ya kumtunza full stop...
 
We si ni mwanachuo,sasa hujaelewa nini tena hapo,hivi siku hizi huko vyuoni mnajifunzaga ujinga au?

Ndio maana kina Msukuma wanawadharau wanazuoni hivyo hivyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…