ELNIN0
JF-Expert Member
- Nov 26, 2009
- 4,205
- 1,576
Pia nipo upande wa utetezi wa hawa mapacha watatu, hakuna siku yoyote ambayo tulisikia Chenge, Lowassa na Rostam wamehusishwa moja kwa moja na ufisadi, nachojua mimi zipo tetesi tu kwamba hawa jamaa wanashiriki katika vitendo vya kifisadi.
Mimi nachoona kama kweli CCM inataka kujisafisha basi kwanza iwapeleke mahakamani, ikishathibitiswa kwamba kweli walifanya wizi huo pamoja na vitendo vya rushwa ndipo hapo wachukuliwe hatua kwa kuvuliwa nyazifa zote ndani ya chama na serikali, lakini kwa mtindo huu wa kuvuana magamba kwa kutumia tuhuma tu na maneno ya mitaani ni uonevu, lazima utawala wa sheria utumike na lazima kesi ipite mahakamani kwanza otherwise itakuwa ni uonevu mkubwa.
Narudia kwamba hawa mapacha watatu wasichukuliwe kama mbuzi wa kafara ili tu CCM watimize dhana yao ya kujisafisha, wote tunajua chama kizima kimejaa wala rushwa na kuwaondoa hawa watatu tu si justification ya kujisafisha bali itakuwa ni uonevu tena uliopita kiasi.
Nimeipenda move ya Chenge kwamba han'goki mtu, na hapo CCM watapata mtihani ambao hawatakaa wausahau. Pia Edward ana nguvu katika chama sasa CCM wawe tayari kwa lolote.
CCM wangetakiwa waanze na ile list iliyotolewa na Rais wetu pale jangwani - wale TOP 11 kwanza wanatakiwa wafike mahakamani, ili tuone kama kweli CCM ya NAPE ina jeuri hiyo otherwise ni uonevu kwa mapacha watatu.
Nawatetea.