Naweza kukubaliana nawe ikiwa tutaelewa kwa dhati mipaka ya Mungu na hizo sifa ambazo sisi tunampa, ya kuwa muweza wa yote, aliyeumba ulimwengu ambao unaweza kuwa na mabaya, huo ni ufahamu siyo kuhusu Mungu. Mungu kuwa ana uwezo wote katika ukamilifu wake wa kiungu, Mungu hawezi kuumba kitu kizito kitakachomteza nguvu, huyo si Mungu, ana kanuni alizoziweka katika uumbaji wake ambao sisi wanadamu tuna elimu ndogo tu juu ya mambo hayo, siku zinavyosogea tunapata ufahamu kiasi kuhusu huu ulimwengu wetu. Hizo nadharia za Epicurian Paradox/ The problem of evil (uwezo wote, ujuzi wote, wema wote) na uwepo wa uovu, haya mambo hayahitaji njia ya mkato yanahitaji uelewa katika maelezo, ingekuwa imani ni kitu rahisi basi hakuna binadamu angepewa hiari ya kuchaguwa na hapo ndipo kwenye mtihani.Uthibitisho kwa muktadha wa maongezi haya ni kwa kutumia mantiki, kuangalia hoja kimantiki, kuangalia truth table kimantiki, kuangalia contradictions.
Hoja ya Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, aliyeumba ukimwengu huu unaoweza kuwa na mabaya, ina contradictions nyingi zinazoonesha kuwa Mungu huyo hayupo, katungwa tu katika hadithi za watu, hadithi zenye makosa mengi ya kimantiki, ndiyo maana hoja ya kuwapo Mungu huyo ina contradictions nyingi kama
1. Epicurean Paradox/The Problem of Evil.
2. The incompatibility of God's perfect knowledge and human perfect freewill.
Kwenye maelezo hayo (yako), kwa upande mmoja ni masimulizi ya biblia na kwa upande mwingine ni uelewa wa mambo na elimu ya vitu. Hili la mwisho ni muhimu zaidi katika kuelewa biblia, ambayo ni msingi wa mafundisho mengi ya dini, na kwa kweli neno Mungu.Uthibitisho kwa muktadha wa maongezi haya ni kwa kutumia mantiki, kuangalia hoja kimantiki, kuangalia truth table kimantiki, kuangalia contradictions.
Hoja ya Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, aliyeumba ukimwengu huu unaoweza kuwa na mabaya, ina contradictions nyingi zinazoonesha kuwa Mungu huyo hayupo, katungwa tu katika hadithi za watu, hadithi zenye makosa mengi ya kimantiki, ndiyo maana hoja ya kuwapo Mungu huyo ina contradictions nyingi kama
1. Epicurean Paradox/The Problem of Evil.
2. The incompatibility of God's perfect knowledge and human perfect freewill.
Mungu hagupo, kuna hadithi kuhusu uwepo wa Mungu.Naweza kukubaliana nawe ikiwa tutaelewa kwa dhati mipaka ya Mungu na hizo sifa ambazo sisi tunampa, ya kuwa muweza wa yote, aliyeumba ulimwengu ambao unaweza kuwa na mabaya, huo ni ufahamu siyo kuhusu Mungu. Mungu kuwa ana uwezo wote katika ukamilifu wake wa kiungu, Mungu hawezi kuumba kitu kizito kitakachomteza nguvu, huyo si Mungu, ana kanuni alizoziweka katika uumbaji wake ambao sisi wanadamu tuna elimu ndogo tu juu ya mambo hayo, siku zinavyosogea tunapata ufahamu kiasi kuhusu huu ulimwengu wetu. Hizo nadharia za Epicurian Paradox/ The problem of evil (uwezo wote, ujuzi wote, wema wote) na uwepo wa uovu, haya mambo hayahitaji njia ya mkato yanahitaji uelewa katika maelezo, ingekuwa imani ni kitu rahisi basi hakuna binadamu angepewa hiari ya kuchaguwa na hapo ndipo kwenye mtihani.
Baba anayemuadhibu mtotobwake hana uwezo wote, hana ujuzi wote, hana uoendo wake.Kwenye maelezo hayo (yako), kwa upande mmoja ni masimulizi ya biblia na kwa upande mwingine ni uelewa wa mambo na elimu ya vitu. Hili la mwisho ni muhimu zaidi katika kuelewa biblia, ambayo ni msingi wa mafundisho mengi ya dini, na kwa kweli neno Mungu.
Sasa basi, neno upendo maana yake ni nini? Ujuzi maana yake ni nini? Na uwezo maana yake ni nini?
Aidha, kwa nini unafikiri kutokea kwa uovu ni kushindwa au kutokuwepo kwa Mungu mwenye upendo, uwezo na ujuzi wote?
Unalielezeaje jambo la baba anaemwadhibu mtoto wake, ana au hana upendo, ana uwezo au hana uwezo, ana ujuzi au hana ujuzi?
Upendo, uwezo, ujuzi ni nini hasa?
unakuwa mwema kwa viumbe hai ili iweje??Nimefanya tafiti yakinifu nimekuja kugundua Mungu hayupo. Ni story tu za kutupa matumaini hewa.
Nimeamua kuwa Atheist. Nitaupa muda nao ukizingua namrudia Yesu.
Dhulma, uonevu, usaliti na ukatili umetamalaki sana.
Bora kuamini nature na kuwa mwema kwa viumbe hai hata visivyonekana.
Ni maamuz yangu binafsi.
unataka wakuthibitishie Mungu yupo ili iweje???Kwanza kabisa, kisichopo hakithibitishiki kwamba hakipo.
Narudia tena, kisichopo, hakithibitishiki kuwa hakipo.
Kwa sanabu hakipo, na kama hakipo, hakithibitishiki kuwa hakipo, uthibitisho unaendana na kilichopo.
Tunaweza kujenga hoja kama za proof by contradiction kuonesha contradiction zinazoonesha kitu fulani hakiwezi kuwapo. Katika hii dhana ya Mungu (mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote) hayupo, nimeelezea sana Epicurean Paradox mpaka michoro nimeiweka hapa. Google Epicurean Paradox, soma, ielewe, kama una swali kuhusiana an Epicurean Paradox lilete hapa.
Zaidi.
Mzigo wa uthibitisho unamuangukia yule anayesema kitu kipo.
Ndiyo maana Polisi wakija nyumbani kwako, wakisema una madawa ya kulevya, wao wanaosema una madawa ya kulevya wanatakiwa wafanye msako mpaka wayapate, wathibitishe yapo.
Hawakwambii wewe unayesema huna madawa ya kulevya uthibitishe huna madawa ya kulevya.
In principle, we cannot prove a negative, but we can show contradictions that shows the impossibility of a negative.
Swali la kuuliza hapa, ni kuwauliza wanaosema Mungu yupo, wathibitishe Mungu yupo.
Unasema Mungu yupo?
Kama unasema hivyo, thibitisha Mungu yupo.
imani hainaga 50 fifty au double chance ni hakuna hakuna au ndiyo ndiyoDhulma, uonevu, usaliti na ukatili umetamalaki sana.
Bora kuamini nature na kuwa mwema kwa viumbe hai hata visivyonekana.
Hii kwenye kamali wanaita double chance kitendo cha wewe kuamini katika nature na kuwa mwema kwa viumbe hata visivyoonekana kwenye game of chess♟️, umepush king 👑 kwa mantiki hiyo hata ikitokea kuwa Mungu anayezungumziwa yupo basi wewe utakuwa salana no matter what.!
Si wanithibitishie mimi, watoe uthibitisho Mungu yupo wote tutenganishe ukweli na uongo.unataka wakuthibitishie Mungu yupo ili iweje???
Mwenzako Elon musk kaachana u-atheist,anaamini Mungu yupo baada ya kui-study universe
Wahindu huamini juu ya Mungu, kuamini juu ya Mungu si uislam, ukristo na uyahudi tukesho elon akihamia uhindu utampigia chapua au utamwona kapotea?
Imani ni dhana pana, waneni husema imani chanzo chake ni kusikia pia waebrani 11. pale anakwambia imani ni kuwa na hakika na mambo yatarajiwayo na ni bayana ya mambo yasiyoonekana.imani hainaga 50 fifty au double chance ni hakuna hakuna au ndiyo ndiyo
hili swala la kusema n bora uamin kuwa yupo alafu usmkute
kuliko kuamini hayupo ukamkuta
ni upagani.
sasa mkuu we huoni mgogoro hadi hapo?Nijiulize kitu ambacho kimethathibika kwa waumini wengi nikiwemo mimi? Haya mambo sio dhahania, inakupasa kushiriki ili kuyaelewa! Tofauti na hapo utajiona uko sahihi sana!
kwa dhehebu ambalo elon yupo , we unaona kapotea au lah?Wahindu huamini juu ya Mungu, kuamini juu ya Mungu si uislam, ukristo na uyahudi tu
"siku za mwisho" is very general tafadhari fafanuaTunaomwamin Mungu tunajua hizi ni siku za mwisho, so watu Kama wew mnaopinga uwepo wa Mungu mtazidi kuongezeka
Nimefanya tafiti yakinifu nimekuja kugundua Mungu hayupo. Ni story tu za kutupa matumaini hewa.
Nimeamua kuwa Atheist. Nitaupa muda nao ukizingua namrudia Yesu.
Dhulma, uonevu, usaliti na ukatili umetamalaki sana.
Bora kuamini nature na kuwa mwema kwa viumbe hai hata visivyonekana.
Ni maamuz yangu binafsi.
Mungu anataka kuaminiwa kwa imani tu, hajataka athibitishwe kwa logic na akanushwe kwa falacy, kwani ufahamu wetu upo kinyume na uhalisia wake. Sisi ufahamu wetu unataka uwe kwenye mipaka ya wakati na mahali, wakati Mungu yupo kinyume na hicho.
unawasaidiaje sasa mkuuKweli, na shetan anawatumia bila wenyewe kujua masikin, huwa nawasikitikia sana.
Usiniulize maswali ya kicengecenge babu!!..kama una bichwa zito tafuta mwingine wa kukuelewesha,mi silipwi kukueleweshakwa dhehebu ambalo elon yupo , we unaona kapotea au lah?
kama humuamini Mungu unakuwa mwema au unatenda wema ili iweje?? na ulijuaje huo ni wema?? na uovu ni upi ?? na kulingana na nn uuite huo n wema na huu n uovu ???Imani ni dhana pana, waneni husema imani chanzo chake ni kusikia pia waebrani 11. pale anakwambia imani ni kuwa na hakika na mambo yatarajiwayo na ni bayana ya mambo yasiyoonekana.
Kwa mujibu wa mtoa mada yeye anasema haamini tena uwepo wa MUNGU bali anaona bora kuamini katikabl nature na kuwa mwema kwa viumbe wote hata wasioonekana, kitendo cha kuwa mwema kinamuweka kwenye position nzuri sijui kama unapata point yangu
kwa ufupi Mungu ni anapenda matendo mema na mtoa mada anaangazia kuwa mwema kwa viumbe wote, weka mbali imani ukishakuwa mwema tayari unayo imani ndani yake.