Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 10,540
- 31,597
Nilijua tu ujinga ndio title kubwa leo!Swali lako katika muktadha huu ni la kijinga. Halina maana.
Kwa sababu, kama oxygen ipo, na inaweza kuthibitishwa kuwa ipo.
Au kama oxygen haipo, na jaiwezi kuthibitishwa kwamba ipo.
Yote hayo hayathibitishi Mungu yupo.
Jibu lolote kuhusu oxygen halina maana katika mazungumzo haya.
Thibitisha Mungu yupo.
Unataka Mungu aje kujitetea ila hitaki oxygen ije kujitetea, si tunaoongelea invisible things au! Wewe una amini oxygen ipo au kwa sababu sayansi imekuthibitishia hilo? Basi na mimi nasema Mungu yupo kwa sababu imani yangu imethibitisha hilo!