UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 17,386
- 8,678
Sio kweli mkuu mbona wenye kuamini Mungu hutenda sana matendo ambayo wamekatazwa kufanya na kwamba wameambiwa ukifanya utaenda kuchomwa moto ila bado wanayatenda hayo matendo.CARD YA MWISHO KABISA YA WAABUDU MUNGU NI VITISHO VYA MOTO WA JEHANAMU NA HUKUMU YA MWISHO WA KUSADIKIKA.
Faraja yao wao ni kwenda huko ktk mbingu za kusadikika ambako wanaimba na kusujudu wengine watangonoka na mabikra 70 WHAT A SHAME kwa wafia dini